Am not materialistic but I still can't keep a man

Am not materialistic but I still can't keep a man

Mie tatizo sio kusamehe maana ukinitenda hata siagi na nasahau harakaaa namove on, mimi tatizo langu ni kumsahau nilompenda haswaaaaa alafu hayupo tena duniani.

Oliver Willfred
 
Upiversity, do u kno wat w do wt pple lyk u ? I guess not, coz pple lyk u dwn here, shit on their f@€kg pant! Gbye @§§h¤l€.
 
Ukitaka uzi wako usiingiliwe na waleta kejeli uandike kwa kizungu tu, kwishaaA
 
Acha dhambi Atoto. Humjui Black Mamba?? acha hizo bana.

Ni mkali. Anachezea timu nayoipenda. Halafu he has a super cocky attitude, but cool like a certain somebody.

Hata simjui mwenzangu, mie mpira naangaliaga kwa ajali tu, we unapenda timu gani? Hapana bwana hajanifikia, he might be cool ila hanifikii hata nusu.
 
Hata simjui mwenzangu, mie mpira naangaliaga kwa ajali tu, we unapenda timu gani? Hapana bwana hajanifikia, he might be cool ila hanifikii hata nusu.

Hahaha. Huyo ni kwenye kikapu. Hebu nitumie picha zako niwe nazitumia kama kweli uko that cool.

Hahahaaaaa! Hivi kumbe hiyo ndio dawa! Paulo Sergio De Souz nitakuwa nakutumia unaniandikia kiinglishi then napost, ila sasa sijui wewe ndio utajibu watu, maana kuna watu wana vingreza humu kama ugomvi!!!

o-KOBE-BRYANT-facebook.jpg
 
Jamani mnisaidie hivi hapo ndo amesema nini?
Mwenzenu sijaelewa kabisa na ninapenda kuelewa mbona wengi mmechainga inamana mmeelewa, plz
 
Back
Top Bottom