bandah
Member
- Jul 29, 2016
- 68
- 19
Hahah we are praying for youAm on the mtumbwi from Kamtimakalyongo to kamzindekulumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah we are praying for youAm on the mtumbwi from Kamtimakalyongo to kamzindekulumba
Sorry we prohibited to capture the picture in the aeroplaneMkuu mbona umegoogle hiyo picha? Tunataka ya kwenye eropleini.
Kingreza kizuriSorry we prohibited to capture the picture in the aeroplane
Thread yako hausiani na lengo la jukwaa la elimu nashukuru mods wameshahamisha.Acha kuvamia uzi uliza kwanza Mimi natoka masomoni wingereza juzi niliwajulisha watu humu we si Hukua na bando na bando zako za kuunga unga
Mods wameshahamisha tayari na wameiweka kwenye jukwaa husika, kila la kheri na thread yenu.Acha wivu mkuu! kwani mods hawajui kazi yake
Dah.. Ndiyo mara ya pili kupanda ndege???nauliza tu[emoji13]How can I explain the large happiness in my heart to see Tanzania in this Christmas season. It's so better. Nipokeeni Wakuu.
Natoka masomoni ni mwanafunzi wa chuo fulani kule wingereza kwa wale ambao Juz hawakua na salio
Dah. Vipaund vimekudatisha[emoji15] [emoji15]Wingereza ukitoka sasa hivi Tanzania utafika saa ngapi??
I will have large happiness ukinijibu ninipange kuja kukupokea