Am really tired to be alone

mr. loner

Senior Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
168
Reaction score
229
Iam Tanzaniam male with 30 years, am here looking for a soul mate, a girl with matured age na anayejua what is life, ata hasipokuwa na kazi ili mradi awe serious naimani tukiwa wawili maisha yataenda. Mie ni mrefu maji ya kunde, tafadhali sipo kwa ajili ya kutafuta msichana anayejiuza bali wa kuishi nae kama ikimpendeza Mungu, kama unakuja kwa nia tofauti naomba usisumbue muda wako
 
pole..utapata chaguo la moyo wako.
 
Unatafuta nini huku mbitiyaza?


hahahaha nimeangua kicheko kila mtu ananishangaa1 hahahahaha we Ney we si mke wa mtu na ww huku unatafuta nn! hehehe hebu waachie wenzako we pamban na hali zako! ...UMENICHEKSHA SANA SANA!

mie hata sijui natafyuta nn..labda na ww nikuhoj unatafuta nn mwanamke mwnzangu
 
Mie nimekufata wewe maana nilikuwa sijakuelewa unamtafuta nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kama vipi tuondoke zetu au wewe bado waosha macho kidogo nikuache? [emoji6]
 
Mie nimekufata wewe maana nilikuwa sijakuelewa unamtafuta nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kama vipi tuondoke zetu au wewe bado waosha macho kidogo nikuache? [emoji6]


Hahaha turud kwetu mwaya... tuendelee kupauka tu lol!..


nasubiri ageuke...
nasubiria wa 35-.. nijilipuege mie kwann nn bana...tired maa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…