Am really tired to be alone

Am really tired to be alone

Utapata usijali....kuna yule dada nae anatafuta kweli....hadi leo amesema heti ana gundu na kwamba ameweka tangazo la mwisho.

Hebu check nae...mana inaelekea yupo very serious
 
Iam Tanzaniam male with 30 years, am here looking for a soul mate, a girl with matured age na anayejua what is life, ata hasipokuwa na kazi ili mradi awe serious naimani tukiwa wawili maisha yataenda. Mie ni mrefu maji ya kunde, tafadhali sipo kwa ajili ya kutafuta msichana anayejiuza bali wa kuishi nae kama ikimpendeza Mungu, kama unakuja kwa nia tofauti naomba usisumbue muda wako
Mkuu ukipata wa ziada nipatie mmoja nimechoka huu upweke huu wiki ya pili hii napoteza mdaa kwenye Uzi wa likes tuu.
 
Haha huvioni? Ngoja nikuoneshe!

1.matured age
2.hata asipokuwa na kazi
3.awe tayari kuwa mke.

Me naandaa mchango wa harusi tafadhari usituangushe hehehe!



brain is the beautiful part of the body.
Hahaha we shilawadu upo?
 
Back
Top Bottom