Am soooo tired of being lonely

akijibu ndiyo mwambie akuelekeze process za kuomba kuvuta maji
na gharama na mwisho mwambie itakuwa vizuri akupe namba yake ya simu
utawasiliana nae ukiwa tayari kuvuta maji...lol
Aha ha ha ha! Yani umenichekesha kweli na hizi tecnik zako!
 

huchoki ukaguzi? lakn hapa uliongea pweinti!!!
 
mdada, ni kwamba hutongozwi kabisa au unatongozwa na watu ambao sio type yako, au unawahisi ni matapali wa mapenzi ndiomana unashindwa kuwapa nafasi?
 
..tengeneza platform yakufikiwa na kupatwa, pengine ww mwenyewe ndio unajua kuwa upo single na unahitaji mwenza lakini mfumo wako wa maisha hautoi taswira hiyo. Kwa mfano huendi kwenye maeneo ambayo unaweza kukutana na potential predators, sio social being, ni groupie, unaamini uzuri ndio kila kitu kiasi cha ku-intimidate waonyesha nia....go out there get some friend....be yourself na usitegemee uzuri, ji-express watu wa kujue ww ni mtu wa aina gani, mitazamo yako n.k! Pia waweza anzisha mazoea/urafiki na mtu unaeona anakufaa, be pro-active!! Go for it....you ain't get any younger!
 
mawazo hayakosi kuniandama na upweke...najiuliza kwanini mimi?! mbaya zaidi nina muda sijatongozwa!

huwa nadhani wanawake wanaona kero kutongozwa kumbe ni kinyume chake....
 
asante sana RR kweli niombee nimekupenda una upendo sana,lkn kwa age hiyo c nilipaswa kuwa na mtu tena nimetulia?!

sijui kwa nini baadhi ya dada zetu wakishagonga 30 years tu wanaanza kuwa desperate... au ndio mambo ya kukimbizana na biological clock hayo?
 
Mimi ni Muambata wa Balozi, kwa sasa niko Tanzania Embassy South Africa.
Am 39 yrs old currently, also Note : am too fat like Capt. Komba of TOT ! Can you allow me ?
Ni muda kitambo natafuta wife to be.
Kama uko seriously pls Pm soon.
 
Mimi ni Muambata wa Balozi, kwa sasa niko Tanzania Embassy South Africa.
Am 39 yrs old currently, also Note : am too fat like Capt. Komba of TOT ! Can you allow me ?
Ni muda kitambo natafuta wife to be.
Kama uko seriously pls Pm soon.
Mkuu, asante kwa ad, amesha pata. lol:lol:

Am happy now!!
 
Roulette, angalia usijemkosesha bahati mwenzako......lol!!!
Hii post ya mwaka jana, nakumbuka tulikesha na mzee Boss hapa kumshahuri na amerudi kutoa shukurani kua she is happy now. Kwa hiyo nadhani kapata. 🙂
 

Please jitahidi kujichanganya na watu,
usipende kujiweka very expensive
Punguza madharau especially kwa wanaume?
Jitahidi kushiriki kwenye mambo ya kijamii kama vile harusi,kwenda church(for christian) N.K
Punguza criteria za mwanaume unaemtaka coz sometimes huwa mnaota wanaume wa kwenye movie of which sio rahis kuwapata watu wenye criteria hizo.
Kwa maelezo zaidi ni PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…