kibali
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 504
- 425
- Thread starter
- #161
Mimi siamini kwamba hakuna mwanaume hata mmoja wa kukutongoza yani hata wa matani tu???hebu be serious bwana.......inaelekea basi una sura ya dharau hivi maana wengine wanaweza ogopa hata kabla hawajasogea. Inawezekana huna hiyo tabia lakini muonekana wako ukawapotosha!!!
Mama Tuli ninachosema ndicho,ndiyo maana nilikuwa natatizika! Sijui kuwa muonekano wangu ndo unaoleta conflict au ni nini ukweli,wa utani wapo lkn rarely inabidi pia ni improve communication yangu kama wengi walivyonishauri