Am soooo tired of being lonely

msani kusema ni mzuri ni ktk kujieleza lakini hainipi kuwa na kiburi kabisa,niko simple sana lkn ndo hivyo
 
RR nina kati ya 28 mpaka 32 asante kwa wema wako
hahahahaha, mbona mdogo sana mpendwa? kwa kweli bado sana, usiwe na presha kabisa. mi nillidhani ni over 40 hivi, kumbe hata 35 hujafika?
Utapata tu. tutakuombea dua na utapata.
 
Evarm usitanie,usiombe upate hali kama hiyo

Pole sana kibali naufahamu uchungu unaoupata, ila naomba uniambie una umri gani mpaka unakuwa na mawazo kiasi hicho? Ila Mungu wetu ni mwema utampata tu mwenza kwa muda alioupanga yeye Mungu na sio muda tuutakao sisi wanadamu. Hao wanaume wanaweza kukutongoza na kukuchezea tu hivyo lazima uwe makini na ujiamini ya kuwa Mungu ameandaa mume mwema kwa ajili yako.
 
kikubwa wanawake inabidi mpinguze classes
mapenzi mapenzi tu kikubwa ni kuhitaji furaha maishani n thats z all u need
just believe in uua self bt the important thng z no one z perfect at all but u hv to believe uaself ha u can make sm1 a perfect partner for uaself
 
hahahahaha, mbona mdogo sana mpendwa? kwa kweli bado sana, usiwe na presha kabisa. mi nillidhani ni over 40 hivi, kumbe hata 35 hujafika?
Utapata tu. tutakuombea dua na utapata.

asante sana RR kweli niombee nimekupenda una upendo sana,lkn kwa age hiyo c nilipaswa kuwa na mtu tena nimetulia?!
 
Hajavuka 32, embu fikiria!
 
asante sana Evarm,naamini kabisa kuwa Mungu hutoa kwa wakati wake lkn kibinadamu napata wakati mgumu ila nitajitahidi kufuata mlichonielekeza
 
RR, am impressed by your honest concern and opinion about this issue.

Kibali, nakuombea dua yako ipate Kibali machoni pa Bwana....umpate umpendaye. Amen.
 
asante sana
 
RR, am impressed by your honest concern and opinion about this issue.

Kibali, nakuombea dua yako ipate Kibali machoni pa Bwana....umpate umpendaye. Amen.

amen kaizer ubarikiwe na Bwana,ukweli nimeona hapa naweza tua mzigo na kupata ufumbuzi
 
kaizer muoneshe the finest 'the guide ' ileeee
 
Kibali kwanza pole kwa upweke, pili usisahau kumuomba na kumshukuru Mungu kwa kila jambo analokutendea katika maisha yako siku zote Mungu anasikiliza maombi kwahiyo endelea kumuomba naye atakubariki na kukupa mume mwema
 
kaizer muoneshe the finest 'the guide ' ileeee
Hahaha!!! Mkuu ile guide nimecheka kweli nina uhakika wakati unaiandika ulikuwa unakunywa Black Label, dah aisee bana nimekosa usingizi nikawa naangalia movie za Denzel Washington inaitwa The Book Of Eli aisee huyu jamaa ni mkali
 
Kibali kwanza pole kwa upweke, pili usisahau kumuomba na kumshukuru Mungu kwa kila jambo analokutendea katika maisha yako siku zote Mungu anasikiliza maombi kwahiyo endelea kumuomba naye atakubariki na kukupa mume mwema

asante sana mpendwa na iwe hivyo,nitaomba nawe pia niombee
 
Hahaha!!! Mkuu ile guide nimecheka kweli nina uhakika wakati unaiandika ulikuwa unakunywa Black Label, dah aisee bana nimekosa usingizi nikawa naangalia movie za Denzel Washington inaitwa The Book Of Eli aisee huyu jamaa ni mkali

natamani ningepata hata hiyo movee kama ni nzuri niwatch maana na huu upweke sina hata usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…