Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Ni kweli tuko nakuwa desparate,ndiyo sababu nikaja kuomba ushauri
ni PM i will take that opportunity n responsibility! Nipo serious!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tuko nakuwa desparate,ndiyo sababu nikaja kuomba ushauri
hapo ndipo patakapokuharibia na usifurahie mahusiano hata mara moja,jiulize kwanini watu wanaamua kumpenda mtu kipofu,kiwete n.k kwahiyo huo uzuri ambao unadhani utapendwa kwa ajili yake sio kweli kwani wengi watakutamani watakuvua nguo na kukuacha kwa kuendelea kujiamini eti we mzuri na muda unazidi kwenda na utakapofikisha miaka 30+ kama bado utaanza kuwatongoza na kumbe uli*******ni wako ulikufanya ujione ni mzuri huenda ndo maana huyo jamaa amekuchukulia poa,huo uzuri huwa haudumu ila moyo na tabia nzuri,
TAFAKARI CHUKUA HATUA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hahahahaha, mbona mdogo sana mpendwa? kwa kweli bado sana, usiwe na presha kabisa. mi nillidhani ni over 40 hivi, kumbe hata 35 hujafika?RR nina kati ya 28 mpaka 32 asante kwa wema wako
Evarm usitanie,usiombe upate hali kama hiyo
hahahahaha, mbona mdogo sana mpendwa? kwa kweli bado sana, usiwe na presha kabisa. mi nillidhani ni over 40 hivi, kumbe hata 35 hujafika?
Utapata tu. tutakuombea dua na utapata.
Hajavuka 32, embu fikiria!Pole sana kibali naufahamu uchungu unaoupata, ila naomba uniambie una umri gani mpaka unakuwa na mawazo kiasi hicho? Ila Mungu wetu ni mwema utampata tu mwenza kwa muda alioupanga yeye Mungu na sio muda tuutakao sisi wanadamu. Hao wanaume wanaweza kukutongoza na kukuchezea tu hivyo lazima uwe makini na ujiamini ya kuwa Mungu ameandaa mume mwema kwa ajili yako.
Pole sana kibali naufahamu uchungu unaoupata, ila naomba uniambie una umri gani mpaka unakuwa na mawazo kiasi hicho? Ila Mungu wetu ni mwema utampata tu mwenza kwa muda alioupanga yeye Mungu na sio muda tuutakao sisi wanadamu. Hao wanaume wanaweza kukutongoza na kukuchezea tu hivyo lazima uwe makini na ujiamini ya kuwa Mungu ameandaa mume mwema kwa ajili yako.
kikubwa wanawake inabidi mpinguze classes
mapenzi mapenzi tu kikubwa ni kuhitaji furaha maishani n thats z all u need
just believe in uua self bt the important thng z no one z perfect at all but u hv to believe uaself ha u can make sm1 a perfect partner for uaself
Mkuu bado haujaenda kukisabahi kitandalol....................
Hommie.......RR, am impressed by your honest concern and opinion about this issue.
Kibali, nakuombea dua yako ipate Kibali machoni pa Bwana....umpate umpendaye. Amen.
RR, am impressed by your honest concern and opinion about this issue.
Kibali, nakuombea dua yako ipate Kibali machoni pa Bwana....umpate umpendaye. Amen.
Kibali kwanza pole kwa upweke, pili usisahau kumuomba na kumshukuru Mungu kwa kila jambo analokutendea katika maisha yako siku zote Mungu anasikiliza maombi kwahiyo endelea kumuomba naye atakubariki na kukupa mume mwemaWadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.
Hahaha!!! Mkuu ile guide nimecheka kweli nina uhakika wakati unaiandika ulikuwa unakunywa Black Label, dah aisee bana nimekosa usingizi nikawa naangalia movie za Denzel Washington inaitwa The Book Of Eli aisee huyu jamaa ni mkalikaizer muoneshe the finest 'the guide ' ileeee
Kibali kwanza pole kwa upweke, pili usisahau kumuomba na kumshukuru Mungu kwa kila jambo analokutendea katika maisha yako siku zote Mungu anasikiliza maombi kwahiyo endelea kumuomba naye atakubariki na kukupa mume mwema
Hahaha!!! Mkuu ile guide nimecheka kweli nina uhakika wakati unaiandika ulikuwa unakunywa Black Label, dah aisee bana nimekosa usingizi nikawa naangalia movie za Denzel Washington inaitwa The Book Of Eli aisee huyu jamaa ni mkali