Spot on.
Nadhani Kibali atakuwa amekupata vyema, uzuri si kila kitu.
@ Kibali: Kutokuwa katika mahusiano sio mwisho wa maisha, it might be a disguised blessing.
jaribu siku ukiona mtu kakuvutia jifanye umemfananisha hivi
unamuuliza tu kaka samahani unafanya kazi dawasco??
basi itakuwa nimekufananisha,sorry
uone
Weye vipi, ushampata ulokuwa wamtafuta, mshauri na mwenzio basi......Hii nimeipenda,it works for some people.
Kumbe hiki kibabu kiko popular namna hii? Aisee!Babu nishauri nifanyeje sasa
kwanza pole sn najua unachopitia mana na mm nilipita huko, kwanza jipende mana huwezi kupendwa kabla hujajipenda, usijizile, keep urself busy na vitu unavyojipenda, go out with friends have fun, na jaribu kupata marafiki wapya, socialize more, then tambua kwamba wewe ni wa thamani na Mungu alikuleta dunia kwa makusudi si kwa bahati mbaya hivyo basi mpango wake kwako utatimia wakati wake ukifika, usikubali kuwa desperate utafanya maamuzi yasiyo sahihi mana akitokea mmoja na ambaye si sahihi utamkubali just b'se u r desperate, jiamini na muombe Mungu atakupa ur heart desire, there is someone for everyone
Kumbe hiki kibabu kiko popular namna hii? Aisee!
Ushauri mdogo tu wa babu.......... Maisha haya ni mafupi mno. Usiwazie mambo ambayo huna uwezo wa kuyahimili. Ukiendekeza, watakuchezea watu mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema "Laiti ningeendelea na ule upweke wangu"
Mambo ya mahusiano huja automatically, hayalazimishwi wala hayaombwi.............Kama kuna mtu aliyeumbwa kwa ajili yako, atatokea siku ambayo hutaamini.
Kwa maelezo zaidi napatikana kwenye PM.
Kibali, hili suala lako liko very complicated sana, kutokutongozwa kunaweza kusababishwa na mengi mno;
Mtazamo wa wanaume walio ktk mazingira unayopatikana, labda unajiremba (siliba) sana au kinyume chake,(amini usiamini kuna wanaume ambao kwa mfano mdada kuvaa suruali tu wanakutoa kwenye hesabu!) Au labda uko juu sana-unamiliki gari, unatoka na kurudi home vioo tinted! Na wadada wengi mlivyo wachoyo wa kutoa lifti...kisingizio wezi! Home ukiingia gate linafungwa, hebu niambie watongozaji watakupata wapi? Kama wengine walivyosema hapo juu, tuliza akili, be yourself usiigize chochote.
Kumbe hiki kibabu kiko popular namna hii? Aisee!
Ushauri mdogo tu wa babu.......... Maisha haya ni mafupi mno. Usiwazie mambo ambayo huna uwezo wa kuyahimili. Ukiendekeza, watakuchezea watu mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema "Laiti ningeendelea na ule upweke wangu"
Mambo ya mahusiano huja automatically, hayalazimishwi wala hayaombwi.............Kama kuna mtu aliyeumbwa kwa ajili yako, atatokea siku ambayo hutaamini.
Kwa maelezo zaidi napatikana kwenye PM.
By the time dada yangu anafikisha 34, kila mtu alijua ishakula kwake....... wenzake walimshauri atafute hata kaserengeti boy azae nako kwa kuwa umri ulikuwa unamtupa mkono........ At 36 bila kutegemea akatokea bonge la handsome akabisha hodi............haikupita muda posa then ndoa! She is now the happiest lady in the world! Maisha yamemnyookea mpaka aibu. Wanaishi kwa furaha na upendo mpaka nawaonea wivu. Na watoto wao watatu wanavyonigombea anko wao, basi najisikia furaha badala yake.asante babu,umesema kweli mahusiano huja automatic lkn kibinadamu najiuliza ni lini?na kibinadamu love is one of the basic needs!Babu inanipa utata lkn kwa mausia yenu nimefarijika na kupata nguvu mpya,pia nimejua kuwa nahitaji kujipanga kimvuto zaidi ingawa Kaizer hanipi somo vzr!
umeongea kinachonigusa sana ukweli najiuliza kwa nini sitongozwi!kwa sasa nakuwa kny gari lkn hata kabla ya hapo hali ilikuwa hivyo hivyo! Ajabu jamani hata ninapokuwa kny meetings kuna hali ya mwanamke kutakwa au unapokutana na watu wapya lkn hilo silioni! Hata hao niliokuwa nao mwanzoni sana ndo mapenzi yanakuwa juu muda mfupi bdae inakuwa ndivyo sivyo!
πhoto:πhoto::focus:
πoaπoa:eyebrows::tongue:πhoto:kaizer am waiting
thanks nyalots,why can't you PM?
loh!.............unajijuaje kwamba wewe ni mzuri?????????