Mimi siamini kwamba hakuna mwanaume hata mmoja wa kukutongoza yani hata wa matani tu???hebu be serious bwana.......inaelekea basi una sura ya dharau hivi maana wengine wanaweza ogopa hata kabla hawajasogea. Inawezekana huna hiyo tabia lakini muonekana wako ukawapotosha!!!
Ntafurahi kama ntakuwa nimekuongezea nguvu za kike.Asprin babu yetu,umenifurahisha sana yani nasema asante mno!umeniongezea nguvu kwa namna ambayo huwezi jua!shukrani kaka
Nimefuatilia baadhi ya jumbe zako katika hii thread ukiondoa na uzuri uliojaliwa (kama ulivyotuambia) unaonekana pia ni mstaarabu na kichwani pia unazo za kutosha tu. Hivyo muombe Mungu ili akutimizie ukitakacho na naamini kabisa ukiongeza maombi basi utafanikiwa. Kila la heri.
Dada, pole sana. Nikwambie tu hivi, mimi nikishaona mtu anjisifia ati yeye mrembo,najua tayari anamatatizo kichwani.na majuvuno yanakuwa ndo nyumbani mwake. Usipojishusha utaishiwa kuchezewa. Kuolewa/kupata mwanaume wa maana kunaendana na urembo?asante sana RR nitazingatia sana hasa hapo kny kujua zaidi khs mahusiano,kiuhalisia kutokufikiri ni ngumu wakati mwingine maana kuna muda unaona kuwa unahitaji mwenzio,asante kwa ushauri mzuri
Dada, pole sana. Nikwambie tu hivi, mimi nikishaona mtu anjisifia ati yeye mrembo,najua tayari anamatatizo kichwani.na majuvuno yanakuwa ndo nyumbani mwake. Usipojishusha utaishiwa kuchezewa. Kuolewa/kupata mwanaume wa maana kunaendana na urembo?
RR asante kwa wema wako,,napenda vitu vingi outing ikiwa moja wapo,tatizo liko hivi,natakiwa nisahau kwa muda gani na umri nao unasogea?utata ninaoupata mbona huwa sitongozwi ni nini!
umeongea kinachonigusa sana ukweli najiuliza kwa nini sitongozwi!kwa sasa nakuwa kny gari lkn hata kabla ya hapo hali ilikuwa hivyo hivyo! Ajabu jamani hata ninapokuwa kny meetings kuna hali ya mwanamke kutakwa au unapokutana na watu wapya lkn hilo silioni! Hata hao niliokuwa nao mwanzoni sana ndo mapenzi yanakuwa juu muda mfupi bdae inakuwa ndivyo sivyo!
Dada, pole sana. Nikwambie tu hivi, mimi nikishaona mtu anjisifia ati yeye mrembo,najua tayari anamatatizo kichwani.na majuvuno yanakuwa ndo nyumbani mwake. Usipojishusha utaishiwa kuchezewa. Kuolewa/kupata mwanaume wa maana kunaendana na urembo?
nasikitika tu kuwa hukuelewa nilichomaanisha,hivi kusema wewe ni smart ni majivuno mpendwa?think positive bwana mi sina majivuno niko simple sana ila ndiyo hivyo,ila nashkuru kuwa hii thread imenipa darasa sana.
Mh; isije kuwa umelogwa. Nenda kwenye maombi. Kuna familia naijua wazuri kweli kweli lakini wako wadada kama watano wote kwa sasa wameshazeeka na uzuri wao. According to their mother shangazi yao amewaloga;
Siamini mambo ya uchawi lakini it will cost you nothing kumshirikisha Mungu.
Maana hainiingii akilini mdada mzuri asipate hata wa kumtongoza; ni strange kwa kweli. Wengi hawapati waoaji lakini wa kuwatongoza ni wa kumwaga.
nasikitika tu kuwa hukuelewa nilichomaanisha,hivi kusema wewe ni smart ni majivuno mpendwa?think positive bwana mi sina majivuno niko simple sana ila ndiyo hivyo,ila nashkuru kuwa hii thread imenipa darasa sana.
Nimefuatilia baadhi ya jumbe zako katika hii thread ukiondoa na uzuri uliojaliwa (kama ulivyotuambia) unaonekana pia ni mstaarabu na kichwani pia unazo za kutosha tu. Hivyo muombe Mungu ili akutimizie ukitakacho na naamini kabisa ukiongeza maombi basi utafanikiwa. Kila la heri.
Sawa rafiki. saikolojia yangu ilinituma hivyo. na mara nyingi huwa ni marudio tuu. hamna mpya. Anyway, if u r a mrembo,humble,mcha Mungu,nk, basi fanya subira tu, muda kidogo Mwenyezi Mungu atakushushia wako. Ubarikiwenasikitika tu kuwa hukuelewa nilichomaanisha,hivi kusema wewe ni smart ni majivuno mpendwa?think positive bwana mi sina majivuno niko simple sana ila ndiyo hivyo,ila nashkuru kuwa hii thread imenipa darasa sana.
Hus hata kama hatujawahiwa unawezajikuta unaibuka hivi... kumbe umeibukia kwa Grandma wako!!!hivi wakaka wa jf wote mshawahiwa eeh?
Hus hata kama hatujawahiwa unawezajikuta unaibuka hivi... kumbe umeibukia kwa Grandma wako!!!