Am sorry did u wellcomed me? why?

Am sorry did u wellcomed me? why?

you are welcome dear conrade, feel free
 
[emoji848] daah! Kwa hicho kiinglishi tutandamana kweli!
Ni- helpini basi jamani! wakubwa wenzangu!!! nipo kiringeni/kijiweni boda boda! tuna bishana mpaka sasa.. hapa nimejificha naangalia kasimu kangu pembeni nione japo hoja ya nguvu, halafu naenda kumwaga sumu ila mpaka sasa ni holaaa! sina cha kusemea! iko hivi;

wengine wanasema ''hii ni past suffixes,
wengine ni ''broken'' yaani ni makosa kutumia ''did'' na ''ed''
wengine wanasema ni kiinglish cha Scotland, siyo British garammar!

wengine eti hii ni ''suprafixes ya neno ''dear'' adjective, yaani wellcome dear me?'' hili neno ni sahihi?. Did you welcomed me?

Wengine wanasema 'd'' ni free Morpheme, iko sawa! kuna aina tatu yaani Unbound Morpheme na Bound Morphemes, sasa huyu ndiyo kanichanganya kabisaa!! ikabidi niwe mpole .

Nimeona ngoja nilitupie hivohvivo! nitapata kitu but still yaani niko njia panda, tunajifunza wenzenu mtuangalie kwa jicho la huruma!
 
Back
Top Bottom