Pichukodada
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 480
- 348
- Thread starter
-
- #21
Mnajifunza au mnaamua kuibadili lughacya watu mnavyotaka nyie? Mlifundishwa aje? 'Did you welcomed me? Hii imetoka wapi?Ni- helpini basi jamani! wakubwa wenzangu!!! nipo kiringeni/kijiweni boda boda! tuna bishana mpaka sasa.. hapa nimejificha naangalia kasimu kangu pembeni nione japo hoja ya nguvu, halafu naenda kumwaga sumu ila mpaka sasa ni holaaa! sina cha kusemea! iko hivi;
wengine wanasema ''hii ni past suffixes,
wengine ni ''broken'' yaani ni makosa kutumia ''did'' na ''ed''
wengine wanasema ni kiinglish cha Scotland, siyo British garammar!
wengine eti hii ni ''suprafixes ya neno ''dear'' adjective, yaani wellcome dear me?'' hili neno ni sahihi?. Did you welcomed me?
Wengine wanasema 'd'' ni free Morpheme, iko sawa! kuna aina tatu yaani Unbound Morpheme na Bound Morphemes, sasa huyu ndiyo kanichanganya kabisaa!! ikabidi niwe mpole .
Nimeona ngoja nilitupie hivohvivo! nitapata kitu but still yaani niko njia panda, tunajifunza wenzenu mtuangalie kwa jicho la huruma!
Questions and negations in past tense, the verb must remain present infitive.Dread bana usichoke karibu uweke sawa! kimalikia
mjadala baada ya kujifunza MkuuMnajifunza au mnaamua kuibadili lughacya watu mnavyotaka nyie? Mlifundishwa aje? 'Did you welcomed me? Hii imetoka wapi?
Barikiwa Mkuu Baba.Questions and negations in past tense, the verb must remain present infitive.
Ukishatumia did kuuliza basi verb yako iwe kawaida.
Wellcomed?[emoji849]Just like I've said! If ma memory save me well! remind us! Cause I don't see any jargon...
Akhsante Mkuu Baba!Karibu mkuu
A
Akhsante Mkuu Baba!
Aaaah!Mkuu nikianza kulia kwenda kushoto hilo jina lako naliona kama "Dadako Chupi"
Hapa kweli nishindwe mimi!, hivi Boda boda wale nao waona wale, baadhi yenu mna kiingereza cha hivi kweli? au wewe mwana Isimu jamii toka Mlimani unaendesha bodaboda? najua hajira hkn?Ni- helpini basi jamani! wakubwa wenzangu!!! nipo kiringeni/kijiweni boda boda! tuna bishana mpaka sasa.. hapa nimejificha naangalia kasimu kangu pembeni nione japo hoja ya nguvu, halafu naenda kumwaga sumu ila mpaka sasa ni holaaa! sina cha kusemea! iko hivi;
wengine wanasema ''hii ni past suffixes,
wengine ni ''broken'' yaani ni makosa kutumia ''did'' na ''ed''
wengine wanasema ni kiinglish cha Scotland, siyo British garammar!
wengine eti hii ni ''suprafixes ya neno ''dear'' adjective, yaani wellcome dear me?'' hili neno ni sahihi?. Did you welcomed me?
Wengine wanasema 'd'' ni free Morpheme, iko sawa! kuna aina tatu yaani Unbound Morpheme na Bound Morphemes, sasa huyu ndiyo kanichanganya kabisaa!! ikabidi niwe mpole .
Nimeona ngoja nilitupie hivohvivo! nitapata kitu but still yaani niko njia panda, tunajifunza wenzenu mtuangalie kwa jicho la huruma!
Neno ''Did'' ni p/ tense ya do, neno well- ni both hyphenated prefixes na suffixes mfano; wellness, wellbeing, well-bred. well-connected nk, kwa hiyo hapa uko sawa tu. Lugha hii ilikuja na Meli hata Jiwe anaiogopa, akiisikia anatetemeka!Ni- helpini basi jamani! wakubwa wenzangu!!! nipo kiringeni/kijiweni boda boda! tuna bishana mpaka sasa.. hapa nimejificha naangalia kasimu kangu pembeni nione japo hoja ya nguvu, halafu naenda kumwaga sumu ila mpaka sasa ni holaaa! sina cha kusemea! iko hivi;
wengine wanasema ''hii ni past suffixes,
wengine ni ''broken'' yaani ni makosa kutumia ''did'' na ''ed''
wengine wanasema ni kiinglish cha Scotland, siyo British garammar!
wengine eti hii ni ''suprafixes ya neno ''dear'' adjective, yaani wellcome dear me?'' hili neno ni sahihi?. Did you welcomed me?
Wengine wanasema 'd'' ni free Morpheme, iko sawa! kuna aina tatu yaani Unbound Morpheme na Bound Morphemes, sasa huyu ndiyo kanichanganya kabisaa!! ikabidi niwe mpole .
Nimeona ngoja nilitupie hivohvivo! nitapata kitu but still yaani niko njia panda, tunajifunza wenzenu mtuangalie kwa jicho la huruma!
Aaaa pichuuu....I was a Stranger in JF and you welcomed me!!