Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

Hivi kumbe mlikua serious [emoji1][emoji1]me nilijua utani tu mpaka moneytalk kipenzi ebu kuja kwanza na wewe maswali mengine usingekuwa unajibu ulikua unaona sifa kumbe unajiharibia pole kwa kuachwa
Asante ila ulichombeza sana!

DJ sepetu
 
Huyo moneytalk ana kazi ya ziada.... Afadhali ungekaa kimyaaaa tu mkuu... Hamna mwanamke anaependa kusikia past ya mpenzi wake milele!!!! Tena mieee ukisimulia tuu nakuacha sa hiyo hiyo....


Polee eeehh
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…