Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo open veepe....Be open tu!
DJ sepetu
Umepita na wanaume wangapi mpaka ndoa[emoji28]Hahaha
My wii ulianza ukiwa na umri ganiii....
Huh ndio utoto unazidi kuharibu utume picha ili iweje mbona mtoto mtoto hiviiiThubutu!!! nitakuroga si kwa mtoto kama huyo nikikutumia Picha utazimia!
DJ sepetu
Pole mwaya.... Mbona umekuwa mpole hivyo mamy, jitahidi kuwa makinisina sababu yakusema uongo, ila hii ni jf mamy sio kila kitu kinaukwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pole sana pambana atakuelewaHumu humu!!
DJ sepetu
Aonekane kidume. [emoji1]Kumbe Unakumbuka eeehh... Aliwezaje kusema vile huku anajua ana mtu humuu
shunie mpenzi na wewe tenaHivi kumbe mlikua serious [emoji1][emoji1]me nilijua utani tu mpaka moneytalk kipenzi ebu kuja kwanza na wewe maswali mengine usingekuwa unajibu ulikua unaona sifa kumbe unajiharibia pole kwa kuachwa
Na kweliiikujishaua tu kulimponza
Aiseeee...
[emoji38] na wewe mkomesheNaona ananikomesha
DJ sepetu
Nipo hapa nimemshauri au aliamua mwenyewe kajionea pambana na hali yakoMpe salamu shunie alimchomchochea aniache![]()
DJ sepetu
Unaniachaje kwa mfano auntie...Antie ubuyu haujawahi kukuacha salama!!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huyo moneytalk ana kazi ya ziada.... Afadhali ungekaa kimyaaaa tu mkuu... Hamna mwanamke anaependa kusikia past ya mpenzi wake milele!!!! Tena mieee ukisimulia tuu nakuacha sa hiyo hiyo....
Polee eeehh
Ujue wewe siyo mtu mzuri[emoji38] [emoji38]Pole mwaya.... Mbona umekuwa mpole hivyo mamy, jitahidi kuwa makini
Hapooo SawaMi ntakutengenezea biti[emoji38]
Dada unamshauri vipiii mtu mwenyewe kaona lazima umuunge mkono tuAlimshauri vyema.... Haiwezekani bhanaa umuumize vile bhanaa
HahahaUmepita na wanaume wangapi mpaka ndoa[emoji28]