Sema nini Askari wangu dah! Sikunyingne usiwage unafunguka kiivyo mwanangu ile interview ilikuacha uchi kimtindo ivimm nilijua ataona ni mambo ya utotoni tu
DJ sepetu
Alivyokuwa anajimwagia sifa tuu.... Kumbe kuna mrembo alikuwa analia nyuma ya keyboard....kheee koma
Kabisaa yaaani... Hahandiyo si uliona sifa
nakusema wake anamiaka kumi khe hehheheAlivyokuwa anajimwagia sifa tuu.... Kumbe kuna mrembo alikuwa analia nyuma ya keyboard....
Thubutu!!! nitakuroga si kwa mtoto kama huyo nikikutumia Picha utazimia!Kasema ulimdhalilisha sana siku ile hawez kurudiana na na wewe niko naye hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kamanda wangu ngoja nimwambie akusamehe maana najua una hali mbaya sanaWe huwa unaniombea njaa tu!
DJ sepetu
Acha kufukua makaburi sakayoHahaha
Hata miee ningekimbia mpaka soksi iache kiatuuu.... Haha moneytalk sipati picha kijasho kilivyokuwa chakutokaaa....
Muosha rungu hivi si ulisema uko na mwarabu tena anakupa mtandao pendwa...... Mbavu zangu mieee.....
Kumbe Unakumbuka eeehh... Aliwezaje kusema vile huku anajua ana mtu humuunakusema wake anamiaka kumi khe hehhehe
Nitimie kwa pm nimuone vizur maana hapa namuona wa kawaida sanaThubutu!!! nitakuroga si kwa mtoto kama huyo nikikutumia Picha utazimia!
DJ sepetu
Sasa unaongea ka mwanaume!Hapana kamanda wangu ngoja nimwambie akusamehe maana najua una hali mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
kujishaua tu kulimponzaKumbe Unakumbuka eeehh... Aliwezaje kusema vile huku anajua ana mtu humuu