Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

poyeee, usirudie tena kuropoka ovyo
wewe mwenyewe ulikuwa unatoa tips za kupendwa na msichana ndani ya dakika 3, sasa sijui imekuaje!
Mwalimu unaweza ukaishia kufundisha tu!

DJ sepetu
 
Hahaha
Hata miee ningekimbia mpaka soksi iache kiatuuu.... Haha moneytalk sipati picha kijasho kilivyokuwa chakutokaaa....

Muosha rungu hivi si ulisema uko na mwarabu tena anakupa mtandao pendwa...... Mbavu zangu mieee.....
 
Acha kufukua makaburi sakayo
Huo uchochezi tu!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom