Ila ulikuwa na kiranga afu vitu kama hivyo si vya kusimulia[emoji23]Yani nitakonda!!
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh!mkuu pole sana [emoji15] [emoji15] kumbe humu watu huwa wana unganishana vikojoleo serious kabsa basi noma sana
Ila nitakusaidia kufunga na kuomba atarudi tu ninja langu
Ndo matokeo haya. Kila kitu kina faida na hasara. Watu wanatumia udhaifu uliouanika hapa wanageuza fimbo kukuchapia.Aisee. Nishawahi waza kitu kama hicho hatimaye kimekuwa kweli.
Katika hizi interview lazima yatakuwepo kati ya haya kama sio watu kupata wapenzi wapya,kuna kuachwa, kuna kukejeliwa siku ukitibuana na mtu kwa sababu ameshakujua kwa asilimia fulani.
Pole sana Muosha Rungu.
Thanks my sisterAisee. Nishawahi waza kitu kama hicho hatimaye kimekuwa kweli.
Katika hizi interview lazima yatakuwepo kati ya haya kama sio watu kupata wapenzi wapya,kuna kuachwa, kuna kukejeliwa siku ukitibuana na mtu kwa sababu ameshakujua kwa asilimia fulani.
Pole sana Muosha Rungu.
Nimecheka aisee. Shoga vibaya hivyo ujue.Jomon poyeeeeView attachment 582063
Hivi swahiba si tushawahi piga stori kuhusu hii kitu ama.Doh pole sana best
[emoji2] [emoji2]Idadi ya wanaume kamili inazidi pungua JF
aeiou
Kabisaaa hatimaye kimetokea.Hivi swahiba si tushawahi piga stori kuhusu hii kitu ama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeonaee. Ndio mana sitakagi hizo mambo swahiba mana. Nshajifunza aisee.Ndo matokeo haya. Kila kitu kina faida na hasara. Watu wanatumia udhaifu uliouanika hapa wanageuza fimbo kukuchapia.
Ni utoto tu, akikua ataacha.Hata kama ni uongo kuna uongo wa maana ujue... Anajisifu kambikiri mtoto wa aunt yake???? Blah blah blah kibao
Sina hata neno la kukupa mdogo wangu.Thanks my sister
Tia neno basi kwa my dear!
DJ sepetu
Kwa upande mmoja hazina ubaya unachotakiwa kujua ni unazungumza nini, wapi na nani unayezungumza naye.Umeonaee. Ndio mana sitakagi hizo mambo swahiba mana. Nshajifunza aisee.
Sina hamu. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Na akue sasa...Ni utoto tu, akikua ataacha.