Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ujue bado kidogo nipaliwe kwa kicheko. Lol.

Nakutania bana siwezi fanya hivyo mie na weye tenaa. Siwezi mwaga mchele hata siku moja.
Hahaahaaa somoooo[emoji5]
 
Tatizo watu hawajui wanaongea nini, wapi na wanaongea na nani.
Halafu huwa wanasikia raha kuongea personal issues hadharani vile? Au ndo tuseme na mimi nimezungumza.
Hahaaa. Wanajua wanahojiana wawili kumbe wana jf walio wengi huwa wana subscribe nyuzi za interview ili wapate ubuyu wa Zanzibar.

Nikiwepo mie. Lol. [emoji85] [emoji85]
 
Hahaaa. Wanajua wanahojiana wawili kumbe wana jf walio wengi huwa wana subscribe nyuzi za interview ili wapate ubuyu wa Zanzibar.

Nikiwepo mie. Lol. [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Imebidi nicheke tu!! Hivi huoni hata kuanzisha uzi huu ni tatizo!!
I hope mahusiano yenu ni ya kijf jf, ila kama ni real, basi kweli nimeamini kila mtu na mtuwe.
Kwaheri.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaha
Nacheka ka mazuri vile...
 
Na binadamu tulivyo wanafiki unakuta watu wanakuchota tu huku wanakusifia ili uendelee kutiririka. Aiseeeh!!! Kuna vitu sio vya kuweka hadharani jamani.
Aisee. Hapo umegusa penyewe dada ake. Mfano mzuri kuna yule mmoja aliyetuma picha kila muda musha rungu anamwambia tupia nyingine nzuri nayeye anatupia lol.

Nilichoka na kuchoka. [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom