Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

Ndio maana niliwahi kuuliza hivi majibu yale ya personal wanayoyatoaga watu humo kwenye interview ni ya kweli? Maana kuna vitu unasoma unajiuliza "whats the hell is this!!!"
 
Kwa upande mmoja hazina ubaya unachotakiwa kujua ni unazungumza nini, wapi na nani unayezungumza naye.
Ukishindwa Kujua hayo utajikuta unabwabwaja hovyo tu. Mi[emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kesho zamu yako. Jiandae swahiba nitakuhoji mwenyewe ntakupiga maswali matata sana yaani ntataka nijue zile biashara zako na pia usisahau account yako inachezea kiasi gani kwa Tshs. [emoji85] [emoji85] [emoji85]

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ndio maana niliwahi kuuliza hivi majibu yale ya personal wanayoyatoaga watu humo kwenye interview ni ya kweli? Maana kuna vitu unasoma unajiuliza "whats the hell is this!!!"
Tatizo watu hawajui wanaongea nini, wapi na wanaongea na nani.
Halafu huwa wanasikia raha kuongea personal issues hadharani vile? Au ndo tuseme na mimi nimezungumza.
 
Usijali yoteeeee nitakujibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe tena somo sina wasiwasi na wewe kama ndo ulivyonifunza sawa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ndio maana niliwahi kuuliza hivi majibu yale ya personal wanayoyatoaga watu humo kwenye interview ni ya kweli? Maana kuna vitu unasoma unajiuliza "whats the hell is this!!!"
Ndio hapo dada ake mi pia huwa nashangaa sana.

Nilichogundua wengi wanasemaga ukweli na kama vipo wanavyopindisha ni vichache na vichache vyenyewe labda umri mana walio wengi wanachezea 26 kurudi chini.
 
Imebidi nicheke tu!! Hivi huoni hata kuanzisha uzi huu ni tatizo!!
I hope mahusiano yenu ni ya kijf jf, ila kama ni real, basi kweli nimeamini kila mtu na mtuwe.
Kwaheri.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
It's real Na tulikuwa tumefikia pazuri uzur huyo hapo kaja muulize

DJ sepetu
 
Usijali yoteeeee nitakujibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe tena somo sina wasiwasi na wewe kama ndo ulivyonifunza sawa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ujue bado kidogo nipaliwe kwa kicheko. Lol.

Nakutania bana siwezi fanya hivyo mie na weye tenaa. Siwezi mwaga mchele hata siku moja.
 
Tatizo watu hawajui wanaongea nini, wapi na wanaongea na nani.
Halafu huwa wanasikia raha kuongea personal issues hadharani vile? Au ndo tuseme na mimi nimezungumza.
Na binadamu tulivyo wanafiki unakuta watu wanakuchota tu huku wanakusifia ili uendelee kutiririka. Aiseeeh!!! Kuna vitu sio vya kuweka hadharani jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…