Hahaahaaa somoooo[emoji5][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ujue bado kidogo nipaliwe kwa kicheko. Lol.
Nakutania bana siwezi fanya hivyo mie na weye tenaa. Siwezi mwaga mchele hata siku moja.
I second you.Damn! How on earth did I end up in here?
Pathetic!
- KANA -
Hahaaa. Wanajua wanahojiana wawili kumbe wana jf walio wengi huwa wana subscribe nyuzi za interview ili wapate ubuyu wa Zanzibar.Tatizo watu hawajui wanaongea nini, wapi na wanaongea na nani.
Halafu huwa wanasikia raha kuongea personal issues hadharani vile? Au ndo tuseme na mimi nimezungumza.
Pole mwaya
Hasa maisha ya mahusiano. Sasa wakianza kuwapamba na wenyewe vichwa vinajaa togwa wanatiririka tu.Na binadamu tulivyo wanafiki unakuta watu wanakuchota tu huku wanakusifia ili uendelee kutiririka. Aiseeeh!!! Kuna vitu sio vya kuweka hadharani jamani.
Hahahaaaa! Hapo kwenye umri mzee mimi tu!!Ndio hapo dada ake mi pia huwa nashangaa sana.
Nilichogundua wengi wanasemaga ukweli na kama vipo wanavyopindisha ni vichache na vichache vyenyewe labda umri mana walio wengi wanachezea 26 kurudi chini.
Hahaaaa swahiba binafsi ubuyu wa bure naupenda[emoji23] [emoji23]Hahaaa. Wanajua wanahojiana wawili kumbe wana jf walio wengi huwa wana subscribe nyuzi za interview ili wapate ubuyu wa Zanzibar.
Nikiwepo mie. Lol. [emoji85] [emoji85]
Ndo mwanaume wako huyoo mamy
Kaka yangu hajambo?Pole mwaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Wanajua wanahojiana wawili kumbe wana jf walio wengi huwa wana subscribe nyuzi za interview ili wapate ubuyu wa Zanzibar.
Nikiwepo mie. Lol. [emoji85] [emoji85]
HahahaImebidi nicheke tu!! Hivi huoni hata kuanzisha uzi huu ni tatizo!!
I hope mahusiano yenu ni ya kijf jf, ila kama ni real, basi kweli nimeamini kila mtu na mtuwe.
Kwaheri.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Haaaa na mimi kwa kweli.Hahahaaaa! Hapo kwenye umri mzee mimi tu!!
Aisee. Hapo umegusa penyewe dada ake. Mfano mzuri kuna yule mmoja aliyetuma picha kila muda musha rungu anamwambia tupia nyingine nzuri nayeye anatupia lol.Na binadamu tulivyo wanafiki unakuta watu wanakuchota tu huku wanakusifia ili uendelee kutiririka. Aiseeeh!!! Kuna vitu sio vya kuweka hadharani jamani.
Nilifikiri hilo tatizo naliona peke yangu!!Hasa maisha ya mahusiano. Sasa wakianza kuwapamba na wenyewe vichwa vinajaa togwa wanatiririka tu.
Ntabaki mshamba aiseeeeeee[emoji86]Aisee. Hapo umegusa penyewe dada ake. Mfano mzuri kuna yule mmoja aliyetuma picha kila muda musha rungu anamwambia tupia nyingine nzuri nayeye anatupia lol.
Nilichoka na kuchoka. [emoji124] [emoji124]
Na mimi dada. [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa! Hapo kwenye umri mzee mimi tu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Damn! How on earth did I end up in here?
Pathetic!
- KANA -
Tunaliona sisi washamba tu[emoji28] [emoji28]Nilifikiri hilo tatizo naliona peke yangu!!
Na wewe huwa una subscribe kama mie.Hahaaaa swahiba binafsi ubuyu wa bure naupenda[emoji23] [emoji23]