Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Naandika huu Uzi nikiwa Na maumivu makali mithili ya mithirika!!
Kweli mapenzi hayajawahi kumuacha rijali salama!

Interview yangu aliyonihost joanal imenigharimu mpenzi penzi motomoto lililokuwa limeanza chipua mfano Wa ua waridi!

Moneytalk my jina lako lile ni takatifu Na la huruma kumbuka hujafa hujaumbika!

Sikijua kama kufunguka kwangu ktk interview aliyonihoji joanal inaweza kukutia hasira kiasi cha kitupa jogoo Na jani lake my love!!
Kumbuka hasira hasara Na mpanda gazi hushuka my sweerthati!

Popote pale ulipo jua l love you toka shina la moyo wangu Nipo tayari unitoe kafara Freemason ila nifaidi penzi lako hata kwa mwaka tu!
Kosa kurudia kosa!

Yes naweza kuwa l was a player labda kukutana nawe ndo mwanzo Wa mwarobaini wangu Wa kupona u player darling!

Tena am sorry kwa nilichokufanyia usiku ni hasira tu Na kupunguza uchungu
Siamini my ka utaniacha kisa kumtoa bikra mtoto Wa shangaz
Isitoshe ni long time hata yeye ashaolewa!

Jamani naomba mnisaidie kumrudisha njiwa kwa DJ sepetu!

DJ sepetu
 
hivi mkuu kwa siku unaosha marungu mangap kwenye order zako
samahani, nje ya mada!
 
Anakuja mkuu hopefully atakuelewa.

New broom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Duh!mkuu pole sana [emoji15] [emoji15] kumbe humu watu huwa wana unganishana vikojoleo serious kabsa basi noma sana

Ila nitakusaidia kufunga na kuomba atarudi tu ninja langu
Asante Sergio yani shemeji Hugo mzuri balaa halafu katulia sana
Kweli ndege mjanja Mimi....

DJ sepetu
 
Anakuja mkuu hopefully atakuelewa.

New broom sweeps well but old one knows every corner!!
Bora iwe hivyo maana hata pm wala WhatsApp hajibu

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom