Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Hapo sasa[emoji23] [emoji23]Umaarufu kwa avatar fake na i'd fake woiiiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutokujitambua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa[emoji23] [emoji23]Umaarufu kwa avatar fake na i'd fake woiiiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wii nakurudisha kwenu[emoji28] [emoji28]Nyamaza tuwafaidiii
Watu wanajiweka uchi sana na hizo mambo zao sijui ndio niniSio kwa kujianika vile
Mambo zao za kizungu[emoji38]Watu wanajiweka uchi sana na hizo mambo zao sijui ndio nini
Weeh pambana na hali yako na mahusiano yako namuheshimu sana moneytalk kwahiyo ulitaka nimuignore nisimjibu au usiniquote tena kuhusu hizo mambo plsUnajua nilikuwa nimefika nae mbali unajuaje kama nilikuwa namchukulia ka jiko langu taraji
Ungemwambia afikirie
DJ sepetu
Unamlipa niniiii kwaniMwenzangu namu intaviuuuu wifi ake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haina majibu kabisaa hiyo
Bure tu[emoji28]Unamlipa niniiii kwani
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hapo sasa[emoji23] [emoji23]
Kutokujitambua tu
Si mumemuwowa mnamrudishaje huyo wa kwenu mjueWii nakurudisha kwenu[emoji28] [emoji28]
Uzungu my footMambo zao za kizungu[emoji38]
Mbona ulinidanganyaa sasaUnamlipa niniiii kwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bure tu[emoji28]
Anaomba msamaha jamaan alioharibu kwenye kuoshwa hukoMbona ulinidanganyaa sasa
Kumbe muosha rungu naye anaoshwaaa
Kwa maneno yake namrudisha kwao aiseee[emoji38]Si mumemuwowa mnamrudishaje huyo wa kwenu mjue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzungu my foot
Apambanee na hali yakeeeAnaomba msamaha jamaan alioharibu kwenye kuoshwa huko
Ndo ulisema kuletaa asubh hikii??Sorry come down!!?[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu