Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Mi nimekatazwaAmeniruhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nimekatazwaAmeniruhusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Inna anajua kama kuna ambavyo unajilia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hivi ni heri mtu aniite mwanaume wa Dar kuliko aniite kwenye interview!![emoji58][emoji58][emoji58]
Alafu baby unaniharibia jina ujueJoanal mfanyie interview huyu!!
DJ sepetu
We mkatolonia haujawahi kula humu?me nilishaacha zamani [emoji23][emoji23]Duh!mkuu pole sana [emoji15] [emoji15] kumbe humu watu huwa wana unganishana vikojoleo serious kabsa basi noma sana
Ila nitakusaidia kufunga na kuomba atarudi tu ninja langu
.....Kwa pikipiki
Is it serious?? aje mwenyewe athibitishe
Hakuna kilichobadilika.Ndio maana hukuwa unaonekana. Hongera sana sana jamani. Sasa ushemeji unaendelea au ndio umekufa?? Mwali yupo ila... nitakuchek pm
Ushemeji haufagi buana weeee
Hahaha Bestfriend nipo nilipotea hapa kipindi cha katikati, usinifanyie hivyo banaBest friend nimekununia hadi mwaka uishe. Hivi kumbe upo!!!