moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana Mkuu kwa kuonga taste za humuWe mkatolonia haujawahi kula humu?me nilishaacha zamani [emoji23][emoji23]
Yaani huu mnuno sijui utafanya nini kuni un-nuna.Hahaha Bestfriend nipo nilipotea hapa kipindi cha katikati, usinifanyie hivyo bana
Hivi ni sifa eeh!!!!We mkatolonia haujawahi kula humu?me nilishaacha zamani [emoji23][emoji23]
Acha kuninunia Best, kwahiyo hii zawadi niliyokuandalia nimpe Heaven SentYaani huu mnuno sijui utafanya nini kuni un-nuna.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wowHakuna kilichobadilika.
Wanaongu wote wananilingishia nahsi ni sifa sanaHivi ni sifa eeh!!!!
hii jojo imekaa kisasa zaidiAlafu baby unaniharibia jina ujue
Ni joanah,johanah,joa ama jojo
Unaweza niita ivo piahii jojo imekaa kisasa zaidi
Sio sifa, ni ujinga tu, kutokupevuka kiakili na kutojitambua.Wanaongu wote wananilingishia nahsi ni sifa sana
Ila kweli mkuuSio sifa, ni ujinga tu, kutokupevuka kiakili na kutojitambua.
Stage tu za makuzi ili nisije nikafanya uzeeniHivi ni sifa eeh!!!!
poa basi jojo imepitishwa na almashauri kuuUnaweza niita ivo pia
Hahahah kinogesho hicho tuUnatafuta Kik...
Malizia hapo chini
nimechelewa nahisiHuoni post za juu mkuu!
DJ sepetu
Best kumbe kuna zawadi!!! Basi mnuno umeisha.Acha kuninunia Best, kwahiyo hii zawadi niliyokuandalia nimpe Heaven Sent