Am Speechless!

Am Speechless!

Ohooo Mpwa geoff umeona mambo hayo? lakini mimi NIPO, nitahakikisha halitokei hilo!
umekamata senksi kwa kunihakikishia usalama wa michango!kikao saa ngapi?
 
umekamata senksi kwa kunihakikishia usalama wa michango!kikao saa ngapi?

Tufanye kuanzia saa kumi nadhani....hivi Vivian yuko wapi manake yeye ndiye anayesababisha haya mambo!
 
Tufanye kuanzia saa kumi nadhani....hivi Vivian yuko wapi manake yeye ndiye anayesababisha haya mambo!
hehehe!wapwa smtmz wanahitaji ujasiri sana!haina mbaya.jaribu kuongea na x-pin akupe namba zake
 
nina siku ya tatu leo hata msosi hauendi vizuri, maana marehemu ninawafahamu hadi kwao, ni kijiji nilichokulia, am speechless too.
 
Back
Top Bottom