Hahaha hao ni baba zake na wewe ukiwemo(wameoa na wana wajukuu na vitukuu)
Ndajufunza (X) - ntajifunza (X) --> nitajifunza (V)Karibu....ila soma andiko lako kabla ujapost
Ndajufunza-ntajifunza
Naona unatumia simu ya LG!! Njoo pm nikupe iphone six bibie
stellar Edison usikae ukamsikiliza Numbisa, kuna fursa anataka kukubania, ukisha kaa wiki kadhaa utakuja kuniambia kama nilikuwa nakudanganya au nasema ukweli.
Hebu anza kumtafuta mkaguzi mkuu wa wageni Babu Asprin.
we mwache wakat anaingia humu tulikua wakarimu kwake na mpaka leo analleta mbwembwe