ha ha ha.. Smile bana😛op2:....nadhan alisahau huku ni jf sio anatuma sms....ni mwanafunzi huyo muelewe...wewe mpe ushauri afanye nini kuondoka na stress. japo hajatuambia stress zanini, za masomo au ni nini:cheer2:

nimesema ni mwanafunzi huyo, mchukulie kama alivyo. huwa wana muda wa kuandika neno lililokamilika. mbaya zaidi hata kwenye mitihani hukosea na kutumia hayo maneno ya mkato. nimemuelewa kwa taabu sana.:glasses-nerdy:
hizo stress ni sehemu ya mtihani kwa hiyo komaa nazo zikikushinda ujue ndo kufeli kwenyewe, ningekuwa mimi ningepiga propanalol 20mg lakini sikushauri hivyo hii ni dawa ya moyo na ni hatari japo inazuia kupanic especially unapokuwa unafanya presentation. ila uandikaji wako sio mzuri unaonyesha uvivu wako (hata kwenye kujisomea), no wonder una stress!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.