Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
unampenda sana kiasi kwamba uwezi mwacha,pigania penzi lako, but hiyo ni dalili kwamba kuna mtu anamdinya,ingekuwa mini natupa kule..... Naanza maisha mapya...
mkuu,inaniuma sana manake nimegharamika sana kwake
tatizo wivu unakufanya umfikirie vibaya.....
Hebu tulia kwanza.....
Then onana nae uzungumze nae.......
Hapokei simu zangu ila nimeambiwa amerudi nyumbani wamemtimua wamemwambia arudi alikototoka.Sasa hapa wadau nadhani inabidi maamuzi ya kiume yafanyike hata kama napenda.Yeye hataki kutoa nafasi ya kujieleza ,what does it mean?
Ewaaaa.... now you are talking.Hapokei simu zangu ila nimeambiwa amerudi nyumbani wamemtimua wamemwambia arudi alikototoka.Sasa hapa wadau nadhani inabidi maamuzi ya kiume yafanyike hata kama napenda.Yeye hataki kutoa nafasi ya kujieleza ,what does it mean?
Ewaaa........ Kuna kitu nlitaka kukuuliza Egyps-women lakini bahati mbaya ikaniangukia.... hivi ni kwanini umeamua kunifanyia hivi?......PM not allowed..Pole sana usianze kuweka mawazo ya ajabu mapema ..nadhani ana maelezo ya kueleweka
teh teh teh tehEwaaaa.... now you are talking.
Sasa waweza kuwaambia vijana wenzako maamuzi ya kiume ni yapi?