Am totally Finished

Am totally Finished

Ile thread yetu sijui wameipeleka wapi hawa jamaa Mbu umeona hizi mambo hapa? KWA NINI MAPENZI YANAUMA. Ha ha ha Usanii at work!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ewaaaa.... now you are talking.

Sasa waweza kuwaambia vijana wenzako maamuzi ya kiume ni yapi?

Asanteni wadau wote wa MMU
Asprin,Am officially closing the chapter.Hawezi kunichezea akili yangu nina mambo mengi ya kufanya.To Hell,Am moving On.Akirudi atapata wakati mgumu sana hadi aeleweke.Nina uhakika alidanganyika tu huko.Atarudi.And i have officially closed the chapter,hata mods wanaweza futa thread
 
Last edited by a moderator:
Hapo huna chako mkuu.Piga chini endelea na ustaarabu mwingine.Halafu kuna wanaume wana roho ngumu,yaani mkuu yaani ukaamua kumpigia hadi kaka yake?Wewe ulijua kapatwa na tatizo,mwenzako alikua anamvulia chupi njemba ingine.
Onyo usi invest kwa mwanamke asiye mkeo,hawa twiga girls hawachelewi kuruka utakufa na pressure bure.
 
Asanteni wadau wote wa MMU
Asprin,Am officially closing the chapter.Hawezi kunichezea akili yangu nina mambo mengi ya kufanya.To Hell,Am moving On.Akirudi atapata wakati mgumu sana hadi aeleweke.Nina uhakika alidanganyika tu huko.Atarudi.And i have officially closed the chapter,hata mods wanaweza futa thread

Dah nakusoma kama una mapenzi ya kweli kwa huyo dada. Usijali penda panapopendeka, kama mtu hathamini penzi lako...jitahidi muache afuate anachokitafuta.

Ni ngumu lakini ni kipindi cha mpito kitapita. Ipo siku atakukumbuka, atakumbuka yote, atalia, atahuzunika lakini nafasi yake itakuwa imeshachukuliwa na mtu mwingine.

Wory out, wakati unakuja tu....pole sana Songa mbele, usitupie penzi lako mbwa, au nguruwe...sorry to say. Wajitahidi kupenda, wajitoa mzima mzima, mwenzio anakuona bundi......ATAKUMBUKA...
 
mkuu,inaniuma sana manake nimegharamika sana kwake

mh take care utaghalamia na roho yako eneway muulize then decide wat to do with ningekuwa mm ni kimyakimya maana acije nishinda bure bse wanaakili hao ka delila
 
  • Thanks
Reactions: LD
dont start to assume things, mwache arudi akupe maelezo. Labda kuna yalomsibu sometimes you need lone time.

maelezo yapi zaid ya oungo na akijua unampenada balaaa utaambiwa nilikuwa kwa rafiki(ke)cm ilikuwa silent,baadae akaisha chaji na izo atakwambia hakuwa na kredit
 
yaani wewe unauliza mk***du wa mbwa ihali umeshanyanyua mkia wake, we vipi piga chini fasta, then ujipange upya. mabinti wazuri wako kwa YESU wewe!!!!!!!!!.
 
Yalinikuta enzi za udsm na mwanamke alikua mabibo mimi nipo kampasi yaani nilikonda hadi basi sikuamini siku nilipoachana nae! But nilihakikisha ninamuumiza kwanza
 
mzee bora kuwa player tu..mademu wa kibongo huwaga haziwatoshi..ukimpenda ni sawa na kazi bure..
 
...mimi nnachokiona hapa pooote ni manyoya na damdam tu, keshaliwa huyo.
 
iku ukiona mwanamke amekuchamgamkia sana..akaongea sana na utani mwingi na kama akaa nae akafanya kazi zote mapema kisha akakuaga anakwenda sehemu flani kuna asilimia kubwa anachakachua huko aliko...
 
halua haina kipolo mkuu....songa mbele
 
Hivi hilo pia linahitaji ushauri mkuu?Piga chini huyo unajipotezea muda wako bure tu!
 
Dude usijali kuhusu gharama ulizoingia kwake. Akija akikusaundisha na ukakubali ndo utakua mchezo wake kila mara anafanya makusudi akijua huruki c unampenda.
Ila kwa jinc unavyolalamika huna unjanja wa kumuacha ht km akizaa nje. Pole sana ila ndo hvyo kashaliwa kaka.
 
Wadau,

Leo yamenikuta.My IreneRose,Nilishwahi kupost hii thread kumuhusu yeye.

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/252254-she-makes-me-cry.html#post3720071

Nampenda sana huyu binti sana tu.Usiku huu sijui hata yuko wapi.Alikuja jana saa 10 nyumbani kwangu na rafiki zake na dada yake,tukacheza mpira baadaye tukaishia kwenye cards then dinner,akaondoka kwenye saa mbili usiku kwenda kwao.Alivofika tu kwao ankanipigia simu kwamba amesahau chip ya Simu ya Vodacom,ikabidi arudi haraka akaichukua but nilimuona hayuko sawa.Nikamuuliza kuna ulazima gan wa kufuata chip mda huo akanijibu kna rafiki yake alitaka kuongea nae.Nikampeleka hadi kwao ila sikushuhudia hadi aingie ndani.

Saa 3 na nusu nikampigia simu,hakupokea na simu ikawa inakatwa.nikapiga kama mara 7 hivi simu inakatwa.Nikampigia dada yake akaniambia hayupo nyumbani na wao wanajua amekuja kwangu,then nikamwambia kwamba siko nae.akampigia hakupokea simu yake pia.Ikafika saa tano na nusu wazazi wake wanampigia hapokei.Nikampigia kaka yake amtafute na simu yake pia haikupokelewa.

Nimezunguka kwa ndugu na rafiki zake karibu wote hawajui aliko,wazazi wamepiga simu kote hawajui aliko.Saa sita usiku dada yake akafanikiwa kuongea nae,Jibu alilompa ni kwamba yuko sehemu salama wasimtafute,ila hakusema ni wapi.Simu yangu haipokelewi kabisa,Sms kama 12 hivi zote hazijibiwi.Saa saba usiku simu ikazimwa.

Nimeshindwa hata kupata lepe la Usingizi,Sijui yuko wapi mpenzi wangu.

Wadau;
1.Hivi sio dalili za kuwa betrayed kweli?
2.Kinachonishangaza hajawahi kulala nje pasipo wazazi kujua yuko wapi,what is this guys.Am stranded sijui nifanyeje,Au watu wameshanichukulia nini

3.Kwa nini wanawake hampendeki bana............??? Sorry inaweza kuwa kwa huyu wa kwangu maybe

Gracious, please don't rush to close the chapter mzee, utakuwa hujamtendea haki. Punguza hasira halafu msubiri aje umsikilize, kisha utapima maelezo yake, na hapo ndo utajua unachokiwaza ni sahihi au? Kumbuka siku zote palipo na ukweli uongo daima ujitenga tu, hata usipojitenga leo utajitenga kesho! Binafsi sikushauri kuamini sana hayo mazingira ya kutopokea simu, for now just give it 50/50 mpaka hapo utakapomsikiliza. Simu zimeharibu mahusiano ya watu wengi, hivyo ni muhimu kuwa na subira kwanza.
 
Back
Top Bottom