Am totally Finished

Ile thread yetu sijui wameipeleka wapi hawa jamaa Mbu umeona hizi mambo hapa? KWA NINI MAPENZI YANAUMA. Ha ha ha Usanii at work!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ewaaaa.... now you are talking.

Sasa waweza kuwaambia vijana wenzako maamuzi ya kiume ni yapi?

Asanteni wadau wote wa MMU
Asprin,Am officially closing the chapter.Hawezi kunichezea akili yangu nina mambo mengi ya kufanya.To Hell,Am moving On.Akirudi atapata wakati mgumu sana hadi aeleweke.Nina uhakika alidanganyika tu huko.Atarudi.And i have officially closed the chapter,hata mods wanaweza futa thread
 
Last edited by a moderator:
Hapo huna chako mkuu.Piga chini endelea na ustaarabu mwingine.Halafu kuna wanaume wana roho ngumu,yaani mkuu yaani ukaamua kumpigia hadi kaka yake?Wewe ulijua kapatwa na tatizo,mwenzako alikua anamvulia chupi njemba ingine.
Onyo usi invest kwa mwanamke asiye mkeo,hawa twiga girls hawachelewi kuruka utakufa na pressure bure.
 

Dah nakusoma kama una mapenzi ya kweli kwa huyo dada. Usijali penda panapopendeka, kama mtu hathamini penzi lako...jitahidi muache afuate anachokitafuta.

Ni ngumu lakini ni kipindi cha mpito kitapita. Ipo siku atakukumbuka, atakumbuka yote, atalia, atahuzunika lakini nafasi yake itakuwa imeshachukuliwa na mtu mwingine.

Wory out, wakati unakuja tu....pole sana Songa mbele, usitupie penzi lako mbwa, au nguruwe...sorry to say. Wajitahidi kupenda, wajitoa mzima mzima, mwenzio anakuona bundi......ATAKUMBUKA...
 
mkuu,inaniuma sana manake nimegharamika sana kwake

mh take care utaghalamia na roho yako eneway muulize then decide wat to do with ningekuwa mm ni kimyakimya maana acije nishinda bure bse wanaakili hao ka delila
 
Reactions: LD
dont start to assume things, mwache arudi akupe maelezo. Labda kuna yalomsibu sometimes you need lone time.

maelezo yapi zaid ya oungo na akijua unampenada balaaa utaambiwa nilikuwa kwa rafiki(ke)cm ilikuwa silent,baadae akaisha chaji na izo atakwambia hakuwa na kredit
 
yaani wewe unauliza mk***du wa mbwa ihali umeshanyanyua mkia wake, we vipi piga chini fasta, then ujipange upya. mabinti wazuri wako kwa YESU wewe!!!!!!!!!.
 
Yalinikuta enzi za udsm na mwanamke alikua mabibo mimi nipo kampasi yaani nilikonda hadi basi sikuamini siku nilipoachana nae! But nilihakikisha ninamuumiza kwanza
 
mzee bora kuwa player tu..mademu wa kibongo huwaga haziwatoshi..ukimpenda ni sawa na kazi bure..
 
...mimi nnachokiona hapa pooote ni manyoya na damdam tu, keshaliwa huyo.
 
iku ukiona mwanamke amekuchamgamkia sana..akaongea sana na utani mwingi na kama akaa nae akafanya kazi zote mapema kisha akakuaga anakwenda sehemu flani kuna asilimia kubwa anachakachua huko aliko...
 
halua haina kipolo mkuu....songa mbele
 
Hivi hilo pia linahitaji ushauri mkuu?Piga chini huyo unajipotezea muda wako bure tu!
 
Dude usijali kuhusu gharama ulizoingia kwake. Akija akikusaundisha na ukakubali ndo utakua mchezo wake kila mara anafanya makusudi akijua huruki c unampenda.
Ila kwa jinc unavyolalamika huna unjanja wa kumuacha ht km akizaa nje. Pole sana ila ndo hvyo kashaliwa kaka.
 

Gracious, please don't rush to close the chapter mzee, utakuwa hujamtendea haki. Punguza hasira halafu msubiri aje umsikilize, kisha utapima maelezo yake, na hapo ndo utajua unachokiwaza ni sahihi au? Kumbuka siku zote palipo na ukweli uongo daima ujitenga tu, hata usipojitenga leo utajitenga kesho! Binafsi sikushauri kuamini sana hayo mazingira ya kutopokea simu, for now just give it 50/50 mpaka hapo utakapomsikiliza. Simu zimeharibu mahusiano ya watu wengi, hivyo ni muhimu kuwa na subira kwanza.
 
Mwanangu piga mtu! (subutuuu uozee jela)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…