Thefact that confession and admission of evidence on accused person is obtainedthrough the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal ProcedureACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which restrict the use of force when arresting theperson and also human right.
kaka kwa taarifa yako siko chuo na wala sijafanya sheria wala si mwanafunzi wa sheria ila nataka nifanye research kuhusu hiyo kitu hapo so nilikuwa nauliza kama huna majibu bora uache kujibu kuliko kukurupuka na kudhani kila mtu ni mwanafunzi.ila nashukuru kilembwe kwa ushauri wako

Niliposema wata dsm wanaandikiwa thesis mtaani watu walidhani ninabeef.
Thefact that confession and admission of evidence on accused person is obtainedthrough the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal ProcedureACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which restrict the use of force when arresting theperson and also human right.
Kilembwe wahitimu wengi wa MBA hawajaelimika chochote, wanatafuta hivyo vyeti kulinda vyeo vyao makazini na wala si kwenda kuleta tija. Anayebisha akamwombe mhitimu wa MBA ESAMI amwandikie "Business Proposal" hata ya kufuga kuku wa kienyeji kama ataweza kumsaidiaJamani! jamani hivi wanafunzi wa aina hii wanapata vipi hizo degree zao! ukweli ni kuwa huyu hauji hata anafanya nini! Unahitaji msaada wa kuandika Introduction sasa kazi yako kama mwanafunzi itakuwa nini? kuhusu muudo uliza idara unayosoma au chuo huwa kuna miongozo! Sio kila mwenye uwezo wa kulipa tuition fee asome, wengine m bakie kuwa wasomaji wa maandiko ya wenzenu aaaa!
The fact that confession and admission of evidence on accused person is obtained through the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal Procedure ACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which restrict the use of force when arresting the person and also human right.
wakuu sifanyi sheria mbona hatuelewani labda niwaeleze what happen kuna rafiki yangu aliletewa laptop na watu ili anunue baada ya kuinunua ikaisha kama wiki hivi wale watu wakaja na polisi kwamba kuna mzungu ameibiwa laptop na wenyewe ndo waliiuza hapo lakini cha ajabu laptop ilikuwa pentium three wakati la wenyewe wanadai ni latest wakamshika huyo rafiki yangu nakuanza kumpiga sana kisha wakampeleka arusha central cha ajabu wale walioleta kuuza hawakushikwa alipokuwa wakawa wanampiga ili akubali kwamba yeye ndo aliiba hiyo laptop na wameuza cha kushangaza kule ndani alikutana na mkenya mmoja na yeye ni the same issue sasa tokea hapo mimi ndo nikaanza kuwa interested kujua inakuaje nikasema naweza fanya research nione ni watu wangapi wana confess issue coz of that so ndo nataka kujaribu.
1. This tittle is vague.Thefact that confession and admission of evidence on accused person is obtainedthrough the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal ProcedureACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which restrict the use of force when arresting theperson and also human right.