Am writing a research proposal nahitaji msaada wa introduction na muundo

Am writing a research proposal nahitaji msaada wa introduction na muundo

immasoft

Senior Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
188
Reaction score
127
Thefact that confession and admission of evidence on accused person is obtainedthrough the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal ProcedureACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which restrict the use of force when arresting theperson and also human right.
 
Jamani! jamani hivi wanafunzi wa aina hii wanapata vipi hizo degree zao! ukweli ni kuwa huyu hauji hata anafanya nini! Unahitaji msaada wa kuandika Introduction sasa kazi yako kama mwanafunzi itakuwa nini? kuhusu muudo uliza idara unayosoma au chuo huwa kuna miongozo! Sio kila mwenye uwezo wa kulipa tuition fee asome, wengine m bakie kuwa wasomaji wa maandiko ya wenzenu aaaa!
 
kaka kwa taarifa yako siko chuo na wala sijafanya sheria wala si mwanafunzi wa sheria ila nataka nifanye research kuhusu hiyo kitu hapo so nilikuwa nauliza kama huna majibu bora uache kujibu kuliko kukurupuka na kudhani kila mtu ni mwanafunzi.ila nashukuru kilembwe kwa ushauri wako
 
Ninachofahamu ni kuwa,
Research Proposal yoyote inakuwa ina sehemu tatu muhimu ambazo ni Introdduction,Literature Review na Methodology.
Sasa Research Topic inapaswa kuwa fupi na ya kueleweka na inashauriwa isiwe na idadi kubwa ya maneno. Angalau maneno yasizidi 14.
Sasaa nikitazama research topic yako inaonekana ina maneno mengi na haipo well focused. Ingawa inaeleweka kwa kiasi. Jaribu kutengeneza Topic ambayo ni fupi na yakueleweka.
Kwenye Introduction unapaswa kuelezea maana ya tatizo na historia ya tatizo.
Bila shaka nimejitahidi kukujibu!
 
kaka kwa taarifa yako siko chuo na wala sijafanya sheria wala si mwanafunzi wa sheria ila nataka nifanye research kuhusu hiyo kitu hapo so nilikuwa nauliza kama huna majibu bora uache kujibu kuliko kukurupuka na kudhani kila mtu ni mwanafunzi.ila nashukuru kilembwe kwa ushauri wako

sa ka co mwanafunz wa Law,unataka ya nini?! We sema unadesa..2kusaidie...!! Af io Tittle kubwa sana,LIMIT SCOPE yake,...
 
Niliposema wata dsm wanaandikiwa thesis mtaani watu walidhani ninabeef.
 
kaka kwa taarifa yako siko chuo na wala sijafanya sheria wala si mwanafunzi wa sheria ila nataka nifanye research kuhusu hiyo kitu hapo so nilikuwa nauliza kama huna majibu bora uache kujibu kuliko kukurupuka na kudhani kila mtu ni mwanafunzi.ila nashukuru kilembwe kwa ushauri wako

Hili janga la taifa. Tatizo hata kudanganya au kurubuni watu wakusaidie na lenyewe limekushinda sasa hiyo research ndo'utaimudu?? Teh! Eti hauko chuo na sio mwanachuo. Kwa hiyo hicho ulicho ulizwa kama hauna hata taaluma nacho, wamekupa msalaba wa kazi gani nacho. Si wangekupa hata topic za hotel management kukusaidia zaidi??
 
Niliposema wata dsm wanaandikiwa thesis mtaani watu walidhani ninabeef.

Subiri waje wajitete ndiyo utajua pale watakaposema chuo kinachotoa sheria siyo udsm tu.Na una uhakika gani kama ni mwanafunzi wa udsm na siyo chuo cha watoto wa mama TU
 
Thefact that confession and admission of evidence on accused person is obtainedthrough the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal ProcedureACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which restrict the use of force when arresting theperson and also human right.

HOW MUCH DO YOU HAVE? MY COST IS $100 per page
 
wakuu sifanyi sheria mbona hatuelewani labda niwaeleze what happen kuna rafiki yangu aliletewa laptop na watu ili anunue baada ya kuinunua ikaisha kama wiki hivi wale watu wakaja na polisi kwamba kuna mzungu ameibiwa laptop na wenyewe ndo waliiuza hapo lakini cha ajabu laptop ilikuwa pentium three wakati la wenyewe wanadai ni latest wakamshika huyo rafiki yangu nakuanza kumpiga sana kisha wakampeleka arusha central cha ajabu wale walioleta kuuza hawakushikwa alipokuwa wakawa wanampiga ili akubali kwamba yeye ndo aliiba hiyo laptop na wameuza cha kushangaza kule ndani alikutana na mkenya mmoja na yeye ni the same issue sasa tokea hapo mimi ndo nikaanza kuwa interested kujua inakuaje nikasema naweza fanya research nione ni watu wangapi wana confess issue coz of that so ndo nataka kujaribu.
 
Jamani! jamani hivi wanafunzi wa aina hii wanapata vipi hizo degree zao! ukweli ni kuwa huyu hauji hata anafanya nini! Unahitaji msaada wa kuandika Introduction sasa kazi yako kama mwanafunzi itakuwa nini? kuhusu muudo uliza idara unayosoma au chuo huwa kuna miongozo! Sio kila mwenye uwezo wa kulipa tuition fee asome, wengine m bakie kuwa wasomaji wa maandiko ya wenzenu aaaa!
Kilembwe wahitimu wengi wa MBA hawajaelimika chochote, wanatafuta hivyo vyeti kulinda vyeo vyao makazini na wala si kwenda kuleta tija. Anayebisha akamwombe mhitimu wa MBA ESAMI amwandikie "Business Proposal" hata ya kufuga kuku wa kienyeji kama ataweza kumsaidia
 
Last edited by a moderator:
kwa staili hii tanzania hatufiki popote, God help us, huyu akija kua kiongozi kutakua na la ziada kweli? mmh
 
The fact that confession and admission of evidence on accused person is obtained through the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal Procedure ACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which restrict the use of force when arresting the person and also human right.

Ebu jaribu kwanza kupitia vizuri title yako, uwe specific kwa kile unachohitaji kufanyia research. Hii itasaidia kutoa statement of the problem and kujustify the need for the research, and the useful of the research vitu ambavyo ni muhimu sana. Kwa ulichoonesha naona kuna mapungufu ingawa sio field yangu
 
wakuu sifanyi sheria mbona hatuelewani labda niwaeleze what happen kuna rafiki yangu aliletewa laptop na watu ili anunue baada ya kuinunua ikaisha kama wiki hivi wale watu wakaja na polisi kwamba kuna mzungu ameibiwa laptop na wenyewe ndo waliiuza hapo lakini cha ajabu laptop ilikuwa pentium three wakati la wenyewe wanadai ni latest wakamshika huyo rafiki yangu nakuanza kumpiga sana kisha wakampeleka arusha central cha ajabu wale walioleta kuuza hawakushikwa alipokuwa wakawa wanampiga ili akubali kwamba yeye ndo aliiba hiyo laptop na wameuza cha kushangaza kule ndani alikutana na mkenya mmoja na yeye ni the same issue sasa tokea hapo mimi ndo nikaanza kuwa interested kujua inakuaje nikasema naweza fanya research nione ni watu wangapi wana confess issue coz of that so ndo nataka kujaribu.

hapa naona unatafuta kujua the use excessive force on accused person /on seeking the truth and the validity of confession.
 
Wewe uko chuo,embu acha mashauzi..kama ni research kwa masuala ya kawaida kama ufahamu tu,unataka muundo wa nini sasa*?

Na kwa taarifa yako,kila chuo kina format yake ya dissertation za uindegraduate na postgraduate..so usitegemee mtu akupe format hapa ndo ukaitumie chuoni kwenu utafeli wewe mpaka ujute.

Ushauri:
Tafuta manual inayoonesha research guidelines za chuo chenu hasa za faculty yako then ujitahidi kuconform..sana sana kama unataka hadi kuiga nenda library katafute submitted thesis za past graduands,esp zinazorelate na research topic yako.
 
utafanya voip research ya proffession ngumu amby hjaisomea, hutaweza mkuu
seeking the truth and the validity of confession waachie wenyewe
 
Though you have told the difficulties of conducting a research that is out of your profession, but let me give u some important tips of preaparing a good research proposal
1. Introduction: this is a brief description of why do you want to know x, (x-being your problem). Provide the magnitude of the problem at different levels, starting from global to local level

1.1 Problem Statement: What is known from your problem, what has been done by others and what remains to be done (this is the gap that warrant your study)

1.2 Objectives and research questions that will reflect your problem statement

2.Literature Review: Review of theoretical and Emperical literature to identify the literaure gap

3: Methodology: this answers the question how are you going to do your research and why such method

For further clarification PM!
 
Thefact that confession and admission of evidence on accused person is obtainedthrough the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal ProcedureACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which restrict the use of force when arresting theperson and also human right.
1. This tittle is vague.
2. Criminal Procedure is not Cap 314, its Cap 20.
3. Tittle suggestion: Law and Practice on obtaining confession and admission of an accused person whether contravenes Sect. 21 of CPA. A critical analysis of the Evidence Act.
 
Kama si wanafunzi wa sheria hiyo reseach unafanya ya nini hili ndo tatizo la hivi vyuo vinavyoibuka kila kukicha TUMAINI,SAUTI,KIU kudahili wanafunzi wa degree ya sheria kiholela ndo tunakutana na upuuzi kama huu.
 
Back
Top Bottom