Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sipendi wakuoneeBora umemwambia Mtani.
Jina linafanana na bidhaa za Pharmacy [emoji3]Huu uandishi kama I'd moja maarufu
Mikia hawajui usajili wao ni kudandia timu ya yanga wakimpata mchezaji anzia kwa medie kagere na sasa wanawatamani kina morison.hovyoo
Hopeless wewe hapo unayemfananisha mnywa ulanzi na buffon (world class)[emoji1787]Yeye Okwi na Gigi Buffon nani ni Mzee? Mbona hamshangai / hamuhoji kwanini Buffon na Uzee wake wote bado anacheza tu Mpira? Hopeless.
Mipira yetu ya bongo ni simba kumfunga yanga na yanga kumfunga simba hatuna malengo mengine.Okwi ashapitwa na wakati inabidi walete wachezaji wapya
Mpira umeanza kuangalia lini, wale Liverpool wana Academy lakini mchezaji mzri wanamchukua. Sisi simba tunamchukua mchezaji yeyote mzr hata hawe wa Yanga, kwani umeshawahi jiuliza kua kwa nini simba hatumtaji YierpeJina linafanana na bidhaa za Pharmacy [emoji3]
Inabidi tutafute mbinu za kukuza soka letu ili kuongeza mvuto na Ubora wa ligi na siyo mbinu za kupata ubingwa tu.
Simba sasa ni club kubwa lakini suala la kila leo kuwazia wachezaji waliopo Yanga tu sioni kama ni zuri sana
Hahahaaa. Afadhani Mtani.Sipendi wakuonee
Ndiyo huyo huyo. Ana IDs kama kumi huku JFHuu uandishi kama I'd moja maarufu
Sawa mtani poleni kwa Jana mana sare yetu mliichekaHahahaaa. Afadhani Mtani.
Ahsante Mtani!! Tatizo nyie mlikuwa mnauchonga sana as if sare huwa haipo kwa ajili yenu.Sawa mtani poleni kwa Jana mana sare yetu mliicheka
Umeelewa kweli maidhui ya post yangu au umetafsiri vipi?Mpira umeanza kuangalia lini, wale Liverpool wana Academy lakini mchezaji mzri wanamchukua. Sisi simba tunamchukua mchezaji yeyote mzr hata hawe wa Yanga, kwani umeshawahi jiuliza kua kwa nini simba hatumtaji Yierpe
Ile yetu mliishadadia mkidhani ninyi mpo salamaAhsante Mtani!! Tatizo nyie mlikuwa mnauchonga sana as if sare huwa haipo kwa ajili yenu.