Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
๐๐๐ Sisi kama sare tumezipata sana Mtani. Ila nyiiie wazee wa kutaka points 100. ๐Ile yetu mliishadadia mkidhani ninyi mpo salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐ Sisi kama sare tumezipata sana Mtani. Ila nyiiie wazee wa kutaka points 100. ๐Ile yetu mliishadadia mkidhani ninyi mpo salama
Sawa ngoja kesho sio mbali tuwachape hao watu wa migodini๐๐๐ Sisi kama sare tumezipata sana Mtani. Ila nyiiie wazee wa kutaka points 100. ๐
Mtani hivi hawa si ndio wale wazee wa kimokko. ๐ Waliwacharaza bila huruma. Si eti eee?Sawa ngoja kesho sio mbali tuwachape hao watu wa migodini
Tunaganga yajayo, ujueMtani hivi hawa si ndio wale wazee wa kimokko. รญ ยฝรญยน Waliwacharaza bila huruma. Si eti eee?
Kama washabiki wote wa upotolo wangekuwa wastaarabu kama Shadeeya tungewabeba wapate nafasi ya kimataifaShadeeya ni shabiki mstaarabu nampenda japo yupo team ya wazee wa mabakuli
Mbona mnamwita Kagere mzee kumbe ndio mambo ya kuzikosa mbichi hiziMikia hawajui usajili wao ni kudandia timu ya yanga wakimpata mchezaji anzia kwa medie kagere na sasa wanawatamani kina morison.hovyoo
bado manataka kuendelea kusajili mababu??? hivi hamuweze kutengeneza team yenu nyie kwa faida ya miaka 5 mbele!
yaani mnamuota OKWI, pia MORISSON duu
Umemsahau Kibubu na babu Kagere, mafanikio ya MO yatakuwa ni kuhakikisha hakuna nafasi iliyo wazi katika baraza la wazee.Winga ya Kushoto Emanuel Okwi, Winga ya Kulia Bernard Morisson, Central Striker Justine Shonga na chini yao kuna Clatous Chama Mwamba.
Kuna Watu Kipindi hiki cha Mapumziko ya CORONA walikuwa wakitamba sana na Usajili sasa ndiyo mtatujua vyema hasa Simba SC ya Mo Dewji.
Mkuu tofauti nyingine angalia nafasi wanazocheza, Okwi ni mshambuliaji wakati Buffon ni golikipa. Magolikipa huwa hawa kazi ya kukimbia kimbia uwanjani tofauti na wachezaji wengine, ndio maana golikipa kucheza akiwa na miaka 40 siyo hoja. Hivi Pepe Reina na Buffon nani mkongwe zaidi?Hopeless wewe hapo unayemfananisha mnywa ulanzi na buffon (world class)[emoji1787]