flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Ipo hivi ndugu zangu, nimevuta kimada kimdada flani kisu hatari usafi ndio usiseme nawala bado hakajawa nabwawa, Najipigia mabao kama yoteeee, nakupitia haka kamdosho nimejigundua me nilijari tena washoka haswa [emoji123] [emoji123] [emoji123] nawala sina kibamia ila ninampini washoka maana nakapiga show mpaka kanabaki kanatapatapa kitandani, kakigeuka huku ninako, kakijibinua nabinuka nako yaani mitindo huru yote nakapiga naninashukuru nakenyewe kanajua kunyumbulika kama vile mimi so tunaendana kitandani ila mengine sijui banaa.
Main point, ipo hivi me nimepanga chumba kimoja nawapangaji wengine wapo, sasa kuna zamu yausafi hapa kwakila mpangaji, Kutokana namshedede ninaompatia huyu manzi anaamka akiwa amechoka so ninachofanya nikumsaidia baadhi yakazi yaani mara nyingi yeye anafagia uwanja namimi nadeki Choo... Jaman nimapenzi2 mubashara msishangae[emoji14] [emoji14] [emoji14]. Sasa sindio maneno maneno yameanza eti hoooo nadekishwa Choo namwanamke wangu nahaya maneno yanasemwa nawanawake wenzake. Sasa jamani nauliza hawa wanawake wananitafuta nini mie nakama kudeki sinimeamua mwenyewe? Kama wenyewe hamsaidiwagwi nawaume zenu ninyinyi ila me wangu namsaidia nahata siku ingine msishangae kuniona napika kabisa. Eti mmoja ananitumia sms 'usiwe unamsaidia niwe namuachia mwenyewe' sasa wewe inakuuma nini kumsaidia manzi wangu kazi ndogondogo? kwakuwa wewe mmeo hakusaidii unataka namimi nisimsaidie manzi wangu, nasema hivi imekula kwako najua upo humu ila ujumbe ndio huo, unapenda kumuona manzi wangu nae awe anaangaika nalichoo kama vile nyinyi mnavyoangaika nalo naliuwanja kubwaaaa unalifagia loteeee mmeo hata akusaidii.
Ushauri: wanawake pendaneni ukimuona mwenzako anapendwa nawewe jitahidi mmeo akupende nakama nimerogwa nawewe kamroge mmeo awe anakusaidia baadhi yakazi ndogondogo kama virahisi....