Ama kweli adui wamwanamke, nimwanamke mwenyewe

Ama kweli adui wamwanamke, nimwanamke mwenyewe

Mwanaune rijali unashindwa kuwajibu wanawake wanaohoji kuhusu maisha yako na mpenzi. Wako!!!!!!!! Mwishoe unaambulia kuja huku kuwatolea mabango duuu,,,
Uanaume sio kufungua zipu tu
 
Mkuu usishindane na ulipotokea Hasira za mboo hazipasui ****.Afu unaniongelesha matusi mwezi mtukufu.Eeeeh mwenyezi mungu nikubalie toba yangu
Sishindani nao ila upo ndani yauwezo wangu
 
Udhaifu wako namba moja ni wewe kwenda kudeki choo na bafuni.

Ingekuwa kwako ingependeza zaidi, ila kudeki sehemu uliyopanga haipendezi kabisa.

Bora wewe ungefagia, yeye akaenda kupiga deki
Basi mkuu ndio yale yale nitakuwa nafagiaa yeye anadeki
 
Unaonaje ukinunua subwoofer ukawagongea taarabu ili muende sawa ukawaacha wajenzi wa jamii kupitia JF wakatuelimisha kuliko kutupeleka uswahilini kusutana?
Natamani kusikia siku moja ukiandika ukijisifu umejenga nyumba japo ndogo, una ka ist na familia ya vitoto 2 kuliko kujisifu kwa ngono.
Mkuu bila Shaka wewe nimwalimu, magu alishakuvuruga nawewe subiria 2020 umvuruge kwenye sanduku lakura ila mimi niache
 
Inaonekana hujiamini...
Ulishawahi kuambiwa una kibamia.Issue sio kibamia wala mandingo issue mwenzako ana hisia na wewe?
Basi mkuu huyu mwenzangu naona anahisia namimi kuliko ambao ishakutana nao huko nyuma kwahiyo ngoma inogire
 
Mkuu ongera sana cha msingi na cha secondari jitaidi uandae nepi mana shemeji mimba lazima iingie mana si kwa k** tmbo ichoo
Hahahaha akishika mimba itakuwa kama vile Wali umetiwa mchanga
 
Namb ya huyo mwanamke aliesema "Usimsaidie"


Uliipata je?
Mkuu huyu nimpangaji mwenzangu nanimeishi nae mda mrefu sana nikiwa single so namba yangu anayo me pia yake ninayo
 
Nipe namba nimfundishe Shemu jinsi ya kuongea nao.... Kama ni kisu lakini Mkuu
 
Hahahahaaahahaa,, mkuu mimba si ndiyo mazao ya mbegu ulizopanda umeona wapi mkulima kapanda mbegu mazao yamekubali alafu anawaza apo wewe sahivi magoli oyaa oyaa
Hahahaha akishika mimba itakuwa kama vile Wali umetiwa mchanga
 
Hahahahaaahahaa,, mkuu mimba si ndiyo mazao ya mbegu ulizopanda umeona wapi mkulima kapanda mbegu mazao yamekubali alafu anawaza apo wewe sahivi magoli oyaa oyaa
Nitalea
 
Back
Top Bottom