Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tuyaache kwa sababu tusije tukagombana sitaki udharau imani za watu wawe ni Waislam au wakristo heshimu kila mwenye imani yake hata kama ana abudu sanamu ng'ombe au mnyama wowote basi muache kama alivyo angojee siku ya hukumu .Na mimi pia ninakuheshimu ila usiingilie katika imani za watu ukaziponda sitakuwa pamoja na wewe samahani kama nimekukwaza.Pamoja na yote haya, bado nakuheshimu sana mkuu mzizi mkavu upande wa maswala ya kitabibu.
Ila kwa swala la imani tumetofautiana.
Basi tuyaache kwa sababu tusije tukagombana sitaki udharau imani za watu wawe ni Waislam au wakristo heshimu kila mwenye imani yake hata kama ana abudu sanamu ng'ombe au mnyama wowote basi muache kama alivyo angojee siku ya hukumu .Na mimi pia ninakuheshimu ila usiingilie katika imani za watu ukaziponda sitakuwa pamoja na wewe samahani kama nimekukwaza.
Wanawake wa kinyakyusa wana majinguvuMimi mwenyewe nikaona nimnyanyue wa kwanguView attachment 2354988
WE NADHANI KULIKO KUANZA KUMTISHA MFUNDISHE NA UMUELEKEZEwaache wenye imani zao waziamini na wewe usiyeamini kuwa hivyo hivyo na upotofu wako ngojea siku utakayo kufa ndipo utayaona yote uliyokuwa ukiyatenda hapa duniani utalipwa na utatamani urude duniani kumuabudu Mungu na kutubu makosa yako uliyoyafanya lakini wapi? wakati wako umeshapita utangojea hukumu yako ya kwenda motoni au kwenda peponi Mungu atakuhukumu kwa yale yote uliyo yatenda hapa duniani.Kaa na upotofu wako.
We wa kwako kajiokoa mwenyewe lini?Mungu gani sasa hawezi kujiokoa mwenyewe[emoji848]