Ama kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake

Pamoja na yote haya, bado nakuheshimu sana mkuu mzizi mkavu upande wa maswala ya kitabibu.
Ila kwa swala la imani tumetofautiana.
 
Pamoja na yote haya, bado nakuheshimu sana mkuu mzizi mkavu upande wa maswala ya kitabibu.
Ila kwa swala la imani tumetofautiana.
Basi tuyaache kwa sababu tusije tukagombana sitaki udharau imani za watu wawe ni Waislam au wakristo heshimu kila mwenye imani yake hata kama ana abudu sanamu ng'ombe au mnyama wowote basi muache kama alivyo angojee siku ya hukumu .Na mimi pia ninakuheshimu ila usiingilie katika imani za watu ukaziponda sitakuwa pamoja na wewe samahani kama nimekukwaza.
 

Mimi naheshimu watu wa imani zote mkuu!
Awe anaamini mizimu, miti, mawe, wanyama n.k mimi namheshimu.
Changamoto iko kwenu watu wa dini kuwaona watu wa imani tofauti na yako kuwa wamepotea,

Kwani wewe huwezi kuwa umepotea?
Mbona mnawadharau wahindu kuwa wanaabudu sanamu?
Hizo si dharau?
 
WE NADHANI KULIKO KUANZA KUMTISHA MFUNDISHE NA UMUELEKEZE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…