JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 54
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.
Ali kiba toka aanze kudhani anaweza kumzidi au kujifananisha na diamond nimeacha kuwa shabiki wake na namuona mjinga sana. Aiwezekani mbingu na dunia zifanane
Kumbe Masasi?
Tafadhali Kiba ni nani huyu!?
Una ushahidi kuwa anajifananisha na diamond? Lini na wapi alisema kuwa yeye anafanana na diamond? Msiwe mnakurupuka kulopoka bila uthibitisho... mashabiki mandazi wawagombanishe wewe umbebee bango kiba kuwa ndo kasema??? Vp na diamond aliyesema atamsaidia kiba hiyo kauli uliichukuliaje? Kwa taarifa yako Kiba hana tatizo lolote na Diamond na amenukuliwa sehemu mbalimbali akisema kuwa anazikubali kazi Diamond sasa kosa lake liko wapi? Nyambaffff.