The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Naona hapa wewe mtoa mada wewe ndio ALIKIBA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ndo huyo ofisa wa RITA? sasa kwanini apokelewe kama rais? au ni chumvi tu za muandishi?Mfanyakazi wa RITA alieidhinisha SITTI A. MTEMVU kuwa ana miaka 18 na ana masters ya Fake matters and forgery!
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.
Ali kiba ndo nani?
kumbe ndo huyo ofisa wa RITA? sasa kwanini apokelewe kama rais? au ni chumvi tu za muandishi?
Ali kiba ndo nani?
Habari za Chidya- Masasi ndugu!!, kumbe ndugu ulishaachana na mambo ya siasa na sasa umejiingiza kwenye industry ya bongo flava!!!Kwan mkubwa sikuhiz wote si tunarusha kwa bluetooth?
Ali kiba toka aanze kudhani anaweza kumzidi au kujifananisha na diamond nimeacha kuwa shabiki wake na namuona mjinga sana. Aiwezekani mbingu na dunia zifanane
Matusi ni dalili kushindwa kujenga hoja kwanini utukane nawashangaa sana watu wa namna hii tatizo watoto wadogo wanataka mitandao na ushindani bila kuwa na hojo,elimu mtaan noma sana
kaazi kweli kweli mtu akisifiwa wengine mwatoka povu
mlitaka asipokelewe muanzishe uzi wa majungu
haooooooooo mmmefuliaaaa
hiyoooo ndo ashapokelewa
ptuuuu mlie mmcheke,mnune,mkasrike wapiiii
ht km zama zimepita ya kale hayanuki na dhahabu pia!!!
kina MADONA,JIGGA,R.KELY ,LIONEL RICHIEPAKA KESHO wanaperfom sembuse kibaa
haoooooooo!!!hamna lolote mmeishiwa nyie,
hamna nyimbo,
hamna mambo,
wala michambo na vijambooo
mmebaki gggggggggaaaaaaaaaah!!!
Anaropoka tu!unajua sisi mashabiki jinsi tunavowachukulia hao waburudishaji wao hawajichukilii ivo kama wana beef,mtu lazima uelewe!Ally K hajawahi kusema anashindana na Diamond sisi ndio tunawashindanisha kiushabiki wetu tu,afu hata asipompenda Ally Kiba hamjui so hampunguzii lolote ukute hajawahi hata kununua kazi ya Kiba zaidi ya kurusha kwa bluetooth
kaazi kweli kweli mtu akisifiwa wengine mwatoka povu
mlitaka asipokelewe muanzishe uzi wa majungu
haooooooooo mmmefuliaaaa
hiyoooo ndo ashapokelewa
ptuuuu mlie mmcheke,mnune,mkasrike wapiiii
ht km zama zimepita ya kale hayanuki na dhahabu pia!!!
kina MADONA,JIGGA,R.KELY ,LIONEL RICHIEPAKA KESHO wanaperfom sembuse kibaa
haoooooooo!!!hamna lolote mmeishiwa nyie,
hamna nyimbo,
hamna mambo,
wala michambo na vijambooo
mmebaki gggggggggaaaaaaaaaah!!!
FYI....kwa hii post basi ndo we umeonekana mjinga indeed! Hata waliokupa like wote ni mashabiki mandazi.
BTW....kama hiyo ndo reason yako ya kutomkubali Kiba then you better not forever! Tena kwendraaaaaaaa kacheze kitorondo harusini. Usituletee habari zako nyeusi hapa.....Aghaa!!!