Ama kweli Ali Kiba anatisha, Kapokelewa kama Rais huko Masasi Mtwara

Kiba namkubali kwa nyimbo nzuri, ila lazima achukulie mziki kama kazi. Atambue thamani yake, la sivyo wengine watafaidika na kipaji chake. Aajiri meneja mzuri, apate ushauri kwa Diamond, haya mambo ya bifu ni watu tu wanatengeneza. Diamond anatambua thamani yake na kwa hilo amejiwekea kiwango cha kulipwa kwenye shoo, kama hapewi hicho kiwango haji, akipewa anafanya shoo ya maangamizi, haya ni maneno yake kipindi cha mkasi. Pia Jana niliona kipindi MTV base artist of the month ambaye alikuwa ni Diamond. Inapendeza saana kuona MTz anafanya fresh, kiba naye LAZIMA afike huko sababu kipaji anacho.
 
Mfanyakazi wa RITA alieidhinisha SITTI A. MTEMVU kuwa ana miaka 18 na ana masters ya Fake matters and forgery!
kumbe ndo huyo ofisa wa RITA? sasa kwanini apokelewe kama rais? au ni chumvi tu za muandishi?
 
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.

Kuna kijiji kimoja niliwahi kufika, kina huduma ya Treni. Basi kila jioni saa 2, watu wengi huenda outing kuona treni kwa nusu saa tu !
 
Kwa hiyo tufanyeje sisi kama kapokelewa kama Rais? Mkuu wa mkoa alikuwepo au kamati nzima ya ulinz na usalama mpaka useme kapokelewa kama Rais? Sijui nani katuloga watanzania
 
Kwan mkubwa sikuhiz wote si tunarusha kwa bluetooth?
Habari za Chidya- Masasi ndugu!!, kumbe ndugu ulishaachana na mambo ya siasa na sasa umejiingiza kwenye industry ya bongo flava!!!
 
Matusi ni dalili kushindwa kujenga hoja kwanini utukane nawashangaa sana watu wa namna hii tatizo watoto wadogo wanataka mitandao na ushindani bila kuwa na hojo,elimu mtaan noma sana
 
Ali kiba toka aanze kudhani anaweza kumzidi au kujifananisha na diamond nimeacha kuwa shabiki wake na namuona mjinga sana. Aiwezekani mbingu na dunia zifanane

FYI....kwa hii post basi ndo we umeonekana mjinga indeed! Hata waliokupa like wote ni mashabiki mandazi.

BTW....kama hiyo ndo reason yako ya kutomkubali Kiba then you better not forever! Tena kwendraaaaaaaa kacheze kitorondo harusini. Usituletee habari zako nyeusi hapa.....Aghaa!!!
 
Matusi ni dalili kushindwa kujenga hoja kwanini utukane nawashangaa sana watu wa namna hii tatizo watoto wadogo wanataka mitandao na ushindani bila kuwa na hojo,elimu mtaan noma sana

Matusi yao hayana tija wala hayampunguzii chochote Kiba, ebu fanya kuyapush aside!
 

Kuna watu wao wakisikia Kiba tu, wanakurupuka kutoka chooni bila hata kuchamba......unategemea wakifika hapa watacomment nini??!!
 

Haha haaaaa unanikosha sana best...bora sie tunaopakua mkito tena tunanunua sio bure....
 

Haha hahaaaaaa uwiiiiiiii leo umeniua jamani...
 

Umenikumbusha kitu...jana hapa mtaani kwetu kulikua na harusi basi kikapigwa kitorondo wakawa wanacheza watoto tuu...acha kabisa mwana ulivyopigwa walisimama hadi watu wazima wenye heshima zao acha waserebuke....
Kiukweli mtu unayejiheshimu huwezi kucheza kitorondo....matusi si matusi ilimrad tafrani...
 
Mtu yoyote mwenye afya kamili kiakili, kimwili na kiroho lazima umukubali ali kiba kwa nyimbo zake zilizo enda shule...huyu jamaa hana mpinzani kwa sasa yaani yeye aachie tu mingoma sis tuendele kuburudika.na kama humukubali chukua kamba jinyonge
 
Kumbe kijijini hukoo heheeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…