Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Uzuri wa nyumba ni choo bhana !
Na uzuri wa choo si ukubwa wake tuu, bali Ulaini, na wepesi unaopata ktk kumaliza haja zako, vyoo vingine vinanukia atii
Halafu cho chahitaji matunzo na ustadi wa kukitumia. Wengi wana vyoo vzuri lakini hawajui kuvitunza na kuvitumia
Ajabu ya choo waweza pita mikocheni ukakuta choo kibaya ukapita tandale ukakuta choo kizuri
Tabu tunapata sisiWenye flat screen zetu tutapata tabu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajifanya kutuponda na mababy zao nje ya jf flatscreen nguvu ya nyuma ya keyboardEti sisi ni masela wenzao ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa maa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajifanya kutuponda na mababy zao nje ya jf flatscreen nguvu ya nyuma ya keyboard