Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hakuna kama Sofa![emoji4][emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa nyumba ni choo bhana !
Na uzuri wa choo si ukubwa wake tuu, bali Ulaini, na wepesi unaopata ktk kumaliza haja zako, vyoo vingine vinanukia atii
Halafu cho chahitaji matunzo na ustadi wa kukitumia. Wengi wana vyoo vzuri lakini hawajui kuvitunza na kuvitumia
Ajabu ya choo waweza pita mikocheni ukakuta choo kibaya ukapita tandale ukakuta choo kizuri
Tabu tunapata sisiWenye flat screen zetu tutapata tabu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajifanya kutuponda na mababy zao nje ya jf flatscreen nguvu ya nyuma ya keyboardEti sisi ni masela wenzao 🙄🙄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa maa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajifanya kutuponda na mababy zao nje ya jf flatscreen nguvu ya nyuma ya keyboard