ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Kinyongo cha nini aliingia anajua... Au zari alimdanganya kuwa ni bikira??Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa!
Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan!
Umeelewa maana ya fungua semi na funga semi katika neno Mzungu?Sasa Uzungu uko wapi hapo?
Watu wengine bana.
Uswahili hapo huyo mtoto hata kumshika Tiffa asingeruhusiwa na MondDooh!..kumbe uzungu ni kazi hivi?
HaaaaaahaaaaAWe utakuwa rombo kwenye mbege ulieanzisha hii thread
GTFOH.....umechemsha!Umeelewa maana ya fungua semi na funga semi katika neno Mzungu?
Kayamba!Kinyongo cha nini aliingia anajua... Au zari alimdanganya kuwa ni bikira??
Hahaha kweli mkuuUswahili hapo huyo mtoto hata kumshika Tiffa asingeruhusiwa na Mond
Hapo umejidharau mwenyewe kuwa mzungu ni bora kuliko wewe.... Wazungu wenyewe hawana habari na ngozi nyeusi nenda kenya usikie wazungu wanavyo wafanyisha ngono mtu mweusi na mbwa, mbona watu weusi tupo vizuri wakina baraka obama nk bado unatufananisha na hao washenziKatika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa!
Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan!
Mzungu wa tandale ...Sijaona uzungu wowote hapo!!!!
Ninachojua, wanaume wana moyo mpana kwenye suala la watoto wa kufikia (walio kuja na Mwanamke)
Mwanamme kama hamtaki mtoto husema waziwazi kabda ya mahusiano kufikia mbali na akikubali huwa harudi tena nyuma.
Tatizo linakuwa tu pale mwanamke anapoficha kuwa anamtoto na kuja kusema wakati wamesha amua kuishi pamoja...
Huo sio uzungu, ndivyo wanaume wa ukweli walivyo...