Ama Kweli Diamond ni "Mzungu"

Ama Kweli Diamond ni "Mzungu"

Amuoe zarina sasa mama yeye mwanaume[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ngoja nipite sababu sijui wazungu wakoje...nimezoea ya kwetu Tandale sababu mapenzi moto moto yapo pia.
 
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa!

Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan!
9b98960a986225606a0ffce516c459d0.jpg
Kwenye njuluku hakuna vinyon go ni rahatupu mkuu
 
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa!

Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan!
9b98960a986225606a0ffce516c459d0.jpg

Usiwe na akili za kuazima, yaani tumuige Diamond kwa lipi? Unajuaye kama aliyoyafanya si promo? Wacha ujinga kijana. Yule ni mtafutaji na atatumia any promo kuwachanganya wajinga. Kumbuka, wajinga ndiyo waliwao.
 
Sijaona uzungu wowote hapo!!!!
Ninachojua, wanaume wana moyo mpana kwenye suala la watoto wa kufikia (walio kuja na Mwanamke)
Mwanamme kama hamtaki mtoto husema waziwazi kabda ya mahusiano kufikia mbali na akikubali huwa harudi tena nyuma.
Tatizo linakuwa tu pale mwanamke anapoficha kuwa anamtoto na kuja kusema wakati wamesha amua kuishi pamoja...
Huo sio uzungu, ndivyo wanaume wa ukweli walivyo...

Kuna wazungu wengi tu ambao hawapatani na watoto/ wazazi wao wa kufikia.

Kudhani hivyo ni ujinga tu (hali ya kutokujua au kufahamu jambo au kitu).

Hakuna tofauti na wale ambao hudai eti Wazungu sijui wana mapenzi ya kweli (ilhali wanatalikiana utadhani wanagaiana njugu) na mara sijui Wazungu hawachepuki.

Ni uongo ulio na msingi katika ujinga kwani mtu yeyote ambaye keshawahi kuishi na Wazungu atajua kwamba hao watu nao ni kama sisi tu....kuna wambea, wapo wasabasi, mahasidi, wenye inda, wachepukaji, makatili, na kadhalika.

Na mtu ukiendelea kuishi na watu wa aina mbalimbali utagundua kwamba wote sisi kama binadamu huwa tunachangia baadhi ya tabia ambazo ni za kibinadamu.

Hivyo, alichokifanya huyo Diamond si kitendo cha Kizungu. Ni cha kistaarabu na kiungwana tu.

Kuna Wazungu wengi tu ambao hawawapendi ndugu zao wa kufikia. Sasa ina maana hao siyo Wazungu au sijui niseme hawana mambo ya Kizungu?

Ujinga uliokithiri bado ni janga kubwa sana.
 
Bora niwe mwafrika tu, uzungu ndo kutoka na vibibi vyenye watoto wa rika lako kabisa af unawapost kabisa mbele ya wanaume wenzio
 
Asante ripota wa Diamond JF.
Naona umekaimu nafasi ya Kifesi sawia.
Ila mwenzio alikuwa analipwa,wewe vepeee?
Kama unafanya bila malipo.....wewe ni jipu pia.
 
Nimejikuta namkumbuka bwanyenye kuna siku kaenda kwa mchuuza mayai akatajiwa bei mbili tofauti akauliza kwanini?mchuuzi akamjibu haya mayai mengine yana bei kubwa kwa sababu ni ya kizungu bwanyenye akajibu kwa hiyo kila kitu kikubwa na kizuri ni cha kizungu?mchuuzi akajibu ndio bwanyenye akamuuliza na hilo pua lako kubwa nalo ni la kizungu?
 
Hilarious.
 
Sasa kilichoniumiza ni nini hapo?

Nawe huna tofauti na huyo mleta mada.

Halafu nakuhakikishia akili yangu iko vizuri mno, tena maradufu kuliko yako.

Eti nimeumia....niumie kwa sababu gani hasa? Unaona maruerue wewe.

Akili zako!
Unazifahamu wewe!!! Wanao paswa kukuambia akili zako zipo sawa ni watu wanao kuzunguka sio wewe mwenyewe

Kumbuka hata kichaa hujiona MWENYE Akili
 
Akili zako!
Unazifahamu wewe!!! Wanao paswa kukuambia akili zako zipo sawa ni watu wanao kuzunguka sio wewe mwenyewe

Kumbuka hata kichaa hujiona MWENYE Akili

Hujajibu swali langu.

Kilichoniumiza hapo ni nini?

Na kwa nini kiniumize?
 
We utakuwa rombo kwenye mbege ulieanzisha hii thread
Mbona mimi nipo rombo kwenye mbege lakini sijaanzisha hii thread hii, au ulitaka kuitaja mbege tuu ili tujue unaijua, maana hii post sijaona uhusiano wake na rombo au na mbege
 
Daah wabongo kwa kuhukumu mnajua, huyu mtoa mada naona kwa upande wangu hajakosea, sababu uzungu wa diamond katika hiyo post yake umejionyesha wazi wazi, au wenzangu hamuoni kama hiyo post imeandikwa kwa lugha ya kizungu?sasa mlitaka aseme diamond kweli ni mmakua alafu post ya kizungu si mngetukana kabisa?
 
Asante ripota wa Diamond JF.
Naona umekaimu nafasi ya Kifesi sawia.
Ila mwenzio alikuwa analipwa,wewe vepeee?
Kama unafanya bila malipo.....wewe ni jipu pia.

Au atakuwa ni mfanyakazi hewa.
 
Tabia za kizungu ni kutuma post kwa kutumia lugha ya kizungu, umenisoma mwana, na hiyo post diamond kaandika kizungu, usipanic mazeee
sasa nipanic kwani dai ananilisha mjini hapa
 
Back
Top Bottom