Uchaguzi 2020 Ama kweli Esther Matiko ni moto wa kuotea mbali. Aisimamisha Tarime kwa masaa watu wasema hawajawahi kuona mwanamke jasiri na shujaa kama yeye

Uchaguzi 2020 Ama kweli Esther Matiko ni moto wa kuotea mbali. Aisimamisha Tarime kwa masaa watu wasema hawajawahi kuona mwanamke jasiri na shujaa kama yeye

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
Amani iwe nanyi nyote!

Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa ni zamu ya Esther Matiko pale Tarime,

Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi hawa wanasiasa vinara wa Upinzani Tanzania kwa Ujasiri,Ushupavu na uimara wao

Naomba kudeclare interest Mwanangu ajae akiwa wa kike basis nitamwita Esther.

Fuatilia huu mziki hapa chini was Esther Matiko kule Tarime,

#TunatakaTumehuruyaUchaguzi
Screenshot_20200227-221124.png
IMG-20200225-WA0035.jpg
IMG-20200225-WA0033.jpg
Screenshot_20200227-221124.png
 
Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
 
Aisee wakati nasoma shule ya msingi huyo dada mkuu yaani ni shidaaaa
 
Amani iwe nanyi!

Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa zamu ya Esther Matiko,

Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi hawa wanasiasa vinara wa Upinzani Tanzania,Mwanangu ajaye akiwa wa kike nitamwita Esther.

Fuatilia huu mziki hapa chini,
Kweli imesimama, halafu mbona watoto wengi sana au nao wamefikisha umri wa kupiga kura
 
Kweli imesimama, halafu mbona watoto wengi sana au nao wamefikisha umri wa kupiga kura



Unaelewa maana ya kusimamisha mjini?Sasa kama watoto wataendelea na mambo yao ndio kusimamisha mji huko??
 
ILI ESTER WAKO UNAYEMTARAJIA ASIWE ESTER MATAKO ANAHITAJI KUPEWA MISINGI IMARA YA MALEZI,ELIMU,CHAKULA BORA ILI AJE AFANANE NA HAWA UNAWAONA.
 
Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
Jeshi la polisi linakupa kiburi, usijitoe akili kujidai huijui nguvu ya CDM Tarime!.

Hii surprise hamkuitegemea, mlijua CDM imeshakufa!.

endeleeni kuota.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aachen upuuzi wenu, kuna mama Kijiji cha Mriba alinyanga'nya majambazi bunduki SMG kwa mkono mitupu huo ndio ujasiri. Kuongea kuna ujasiri gani.
 
Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
Shame on u!!! Wakiita nchi zinazofanya uchaguzi Tz, utaiweka?!!! Eti fainali, ni Oct!!! Kila kona anadai ametimiza ahadi kwa asilimia 200!! Lakini uchaguzi huru na wa hakini sumu!!!
 
Kwanini Mwakyembe anaogopa kufanya mikutano Kyela ?
Ukiruhusu naweza kumsaidia kujibu hilo swali.

Hivi ulishakwenda ile safari uliyokuwa umepanga. Mbona sikukusikia ukiunguruma?
Au policcm shida, maanake huna jimbo!

Lakini nilishakwambia, na wengine wote, kisingizio cha kunyimwa hiyo hadhara si sababu ya kutowafikia wananchi walipo mitaani kwao.

Eeenh, nimeliona jibu lake la kipuuzi hapo #16, kama kawaida yake. Hivi hamchoki kujibishana na wapuuzi hawa!
 
..tunataka Benson Kigaila aruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima bila kubugudhiwa kama ilivyo kwa Dr.Bashiru na Mzee Polepole.
Kigaila asubiri chama chake kishike dola atapata fursa kufuatilia utekelezaji wa ilani.
 
Back
Top Bottom