Uchaguzi 2020 Ama kweli Esther Matiko ni moto wa kuotea mbali. Aisimamisha Tarime kwa masaa watu wasema hawajawahi kuona mwanamke jasiri na shujaa kama yeye

Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
PUMBAVU sana wee Mama..
Unajisifia kwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa mliobaka Demokrasia??
Eti tusubiri Oktoba..??
Majizi makubwa ya kura.
 
Wewe unayeuliza wapinzani walalamika mikutano imezuiwa hii ni nini unaelewa katiba na sheria ya vyama vya siasa? kwa ufupi mikutano inayolalamikiwa ni ile inayomhusisha hata asiye mbunge kufanya,(kiongozi wa chama)hi imezuiwa kinyume na sheria,wapumbavu wanaojifanya wapo juu ya sheria wamepora haki za wengine.
 
Hawana uwezo wa kujibu hoja hofu zimewajaa
 
Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!

Pole pole anawapoteza sana nyie Vijana wa Lumumba na kampeni yake ya Manunuzi badala ya kuwekeza kwa wapiga Kura.
Bila polisi na Tume huru CCM ni wepesi kama karatasi.

Mtategemea Vyombo vya Dola mpaka lini ili mshinde Uchaguzi..?
 
Amani iwe nanyi nyote!

Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa ni zamu ya Esther Matiko pale Tarime,

Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi hawa wanasiasa vinara wa Upinzani Tanzania kwa Ujasiri,Ushupavu na uimara wao

Naomba kudeclare interest Mwanangu ajae akiwa wa kike basis nitamwita Esther.

Fuatilia huu mziki hapa chini was Esther Matiko kule Tarime,

#TunatakaTumehuruyaUchaguzi
View attachment 1370960View attachment 1370963View attachment 1370964View attachment 1370965
Esther Bulaya na Ester Matiko. Hawa wanawake wana mimi niwaoe wote. NAWAPENDA SANA ENYI WANWAKE WATUMISHI WA MUNGU.
 
Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
CCM watamwaga damu na wataiba kura pumbavu
tapatalk_1552168594516.jpeg
IMG-20151027-WA0052.jpeg
IMG-20151027-WA0047.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani iwe nanyi nyote!

Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa ni zamu ya Esther Matiko pale Tarime,

Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi hawa wanasiasa vinara wa Upinzani Tanzania kwa Ujasiri,Ushupavu na uimara wao

Naomba kudeclare interest Mwanangu ajae akiwa wa kike basis nitamwita Esther.

Fuatilia huu mziki hapa chini was Esther Matiko kule Tarime,

#TunatakaTumehuruyaUchaguzi
View attachment 1370960View attachment 1370963View attachment 1370964View attachment 1370965
Inaonyesha KAMA hawa rafiki zangu akina "Mura" siku hizi wamebadilika, nadhani ni kwa sababu ya vyama vingi. Sidhani kama huko nyuma walikuwa wanaruhusu mwanamke kusimama jukwaani na kuanza kuongea mbele yao. akiwa amevaa suruali. Suruali lilikuwa ni vazi rasmi la wanaume tu "Mura"
 
Back
Top Bottom