Wewe ni mpumbavu tu tatizo nikuwa nilikupa uraia aisee..Eeh Mungu nisamehe ili kosaHivi nyie wapinzani uchwara kwa nini mnalalamika kuwa mikutano ya hadhara imezuiwa; sasa hii ni nini?
Kweli imesimama, halafu mbona watoto wengi sana au nao wamefikisha umri wa kupiga kuraAmani iwe nanyi!
Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa zamu ya Esther Matiko,
Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi hawa wanasiasa vinara wa Upinzani Tanzania,Mwanangu ajaye akiwa wa kike nitamwita Esther.
Fuatilia huu mziki hapa chini,
Kwenda zako huko wewe msukule wa ufipa.Wewe ni mpumbavu tu tatizo nikuwa nilikupa uraia aisee..Eeh Mungu nisamehe ili kosa
Tulia dawa ikuingie wewe.Hivi nyie wapinzani uchwara kwa nini mnalalamika kuwa mikutano ya hadhara imezuiwa; sasa hii ni nini?
Jeshi la polisi linakupa kiburi, usijitoe akili kujidai huijui nguvu ya CDM Tarime!.Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
Kwanini Mwakyembe anaogopa kufanya mikutano Kyela ?Hivi nyie wapinzani uchwara kwa nini mnalalamika kuwa mikutano ya hadhara imezuiwa; sasa hii ni nini?
Shame on u!!! Wakiita nchi zinazofanya uchaguzi Tz, utaiweka?!!! Eti fainali, ni Oct!!! Kila kona anadai ametimiza ahadi kwa asilimia 200!! Lakini uchaguzi huru na wa hakini sumu!!!Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
Kamuulize.Kwanini Mwakyembe anaogopa kufanya mikutano Kyela ?
Hivi nyie wapinzani uchwara kwa nini mnalalamika kuwa mikutano ya hadhara imezuiwa; sasa hii ni nini?
Ukiruhusu naweza kumsaidia kujibu hilo swali.Kwanini Mwakyembe anaogopa kufanya mikutano Kyela ?
Kigaila asubiri chama chake kishike dola atapata fursa kufuatilia utekelezaji wa ilani...tunataka Benson Kigaila aruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima bila kubugudhiwa kama ilivyo kwa Dr.Bashiru na Mzee Polepole.
Kigaila asubiri chama chake kishike dola atapata fursa kufuatilia utekelezaji wa ilani.
Ni tafsiri tu. Mbowe atanguruma huko Hai jumamosi hii, juzi Matiko alikusanya umati huko Tarime...basi msiseme mikutano imeruhusiwa.