MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
PUMBAVU sana wee Mama..Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
Intelligence ya polisi ilikuwa imelalaHivi nyie wapinzani uchwara kwa nini mnalalamika kuwa mikutano ya hadhara imezuiwa; sasa hii ni nini?
Fafanua Zaidi pliizAisee wakati nasoma shule ya msingi huyo dada mkuu yaani ni shidaaaa
Hawana uwezo wa kujibu hoja hofu zimewajaaWewe unayeuliza wapinzani walalamika mikutano imezuiwa hii ni nini unaelewa katiba na sheria ya vyama vya siasa? kwa ufupi mikutano inayolalamikiwa ni ile inayomhusisha hata asiye mbunge kufanya,(kiongozi wa chama)hi imezuiwa kinyume na sheria,wapumbavu wanaojifanya wapo juu ya sheria wamepora haki za wengine.
Wee zombie la lumumba.NyambafuKwenda zako huko wewe msukule wa ufipa.
Ni tafsiri tu. Mbowe atanguruma huko Hai jumamosi hii, juzi Matiko alikusanya umati huko Tarime.
Mbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
Tulieni mtandikwe Oktoba. Mmezidi kutafuta visingizio, mnachosha...kwanini mnaogopa haki na usawa kwa wote?
Haisaidii kitu.Wee zombie la lumumba.Nyambafu
Tulieni mtandikwe Oktoba. Mmezidi kutafuta visingizio, mnachosha.
Nyie endeleeni tu kutafuta visingizio. Oktoba ndio inakuja hiyo...mnajichosha wenyewe kwa kukandamiza haki za vyama vingine.
Esther Bulaya na Ester Matiko. Hawa wanawake wana mimi niwaoe wote. NAWAPENDA SANA ENYI WANWAKE WATUMISHI WA MUNGU.Amani iwe nanyi nyote!
Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa ni zamu ya Esther Matiko pale Tarime,
Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi hawa wanasiasa vinara wa Upinzani Tanzania kwa Ujasiri,Ushupavu na uimara wao
Naomba kudeclare interest Mwanangu ajae akiwa wa kike basis nitamwita Esther.
Fuatilia huu mziki hapa chini was Esther Matiko kule Tarime,
#TunatakaTumehuruyaUchaguzi
View attachment 1370960View attachment 1370963View attachment 1370964View attachment 1370965
CCM watamwaga damu na wataiba kura pumbavuMbwembe zote za wanasiasa wa Tanzania fainali zake ni Octoba 2020 na ndipo tutajua pia kama Matiko aliisimamisha Tarime au la!
Na bodaboda ndo wamejazanaKweli imesimama, halafu mbona watoto wengi sana au nao wamefikisha umri wa kupiga kura
Naona wameamua kujigawia ugali mezani mpishi anachelewa kufikaNi tafsiri tu. Mbowe atanguruma huko Hai jumamosi hii, juzi Matiko alikusanya umati huko Tarime.
Inaonyesha KAMA hawa rafiki zangu akina "Mura" siku hizi wamebadilika, nadhani ni kwa sababu ya vyama vingi. Sidhani kama huko nyuma walikuwa wanaruhusu mwanamke kusimama jukwaani na kuanza kuongea mbele yao. akiwa amevaa suruali. Suruali lilikuwa ni vazi rasmi la wanaume tu "Mura"Amani iwe nanyi nyote!
Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa ni zamu ya Esther Matiko pale Tarime,
Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi hawa wanasiasa vinara wa Upinzani Tanzania kwa Ujasiri,Ushupavu na uimara wao
Naomba kudeclare interest Mwanangu ajae akiwa wa kike basis nitamwita Esther.
Fuatilia huu mziki hapa chini was Esther Matiko kule Tarime,
#TunatakaTumehuruyaUchaguzi
View attachment 1370960View attachment 1370963View attachment 1370964View attachment 1370965