PostGE2025 Ama kweli hii Serikali ni sikio la kufa. Kwanini bado mnawinda vijana usiku wa manane?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Hali bado ni tete mtaani.

Polisi wakishirikiana na wajumbe wa Serikali za Mitaa wanawinda watu, hasa vijana wa kiume, usiku wakiwa wamelala.

Mbaya zaidi wanabeba kila mtu bila kujali lolote, na ole wako wakukute na jeraha lolote cha moto utakiona.

Vijana hawa wakichukuliwa hawaonekani kwenye vituo vya Polisi, na haijulikani wanapelekwa wapi.

Hivi hii Serikali ya CCM inawataka nini watanzania? Hamjifunzi tu, au mnataka hadi damu ya nani imwagike ndipo msalimu amri na kuwa waungwana? Mbona mmekuwa sikio la kufa kiasi cha kutokusikia dawa?

Hii mbegu mnayoipanda ipo siku mtashindwa kuidhibiti. Kumbukeni maandamano yalivyokuwa, pamoja na kujinasibu kuwa na ujuzi na intelijensia kubwa mlifeli big time, kazi kuua tu raia wasio na hatia.

Ipo siku yenu na heshima itarejea mtaani.

1000512718.jpg
 
Hii mbegu mnayoipanda ipo siku mtashindwa kuidhibiti. Kumbukeni maandamano yalivyokuwa, pamoja na kujinasibu kuwa na ujunzi na intelijensia kubwa mlifeli big time, kazi kuua tu raia wasio na hatia.

Ipo siku yenu na heshima itarejea mtaani.

View attachment 3504054
Ushahidi wote ushapelekwa ICC na sasa wanajisumbua tu kuwanyanyasa, ndiyo itakuwa mwisho wao huu. Habil kafanya kazi yake.
 
Haya mambo tuliyasikia tu Uganda kwenye miaka ya sabini wakati wa utawala wa dikteta Idi Amin lkn kamwe hatukufahamu kwamba kuna siku na Tanzania nayo yatakuja kutokea mbele ya safari.

Hujafa hujaumbika.
 
Kumbe kuna mabadiliko makubwa sana..
Sasa hv wanakuja na kiongozi wako wa mtaa au kijiji na wanajitambulisha, hapo sawa..
Acha wahalifu wakamatwe sasa..maana kilio kilikuwa kwamba hawaambatani na viongozi, au bado hamtaki au unataka ukivunja sheria ili ukamatwe lazima tundu awepo ndo ukamatwe?
 
Hali bado ni tete mtaani.

Polisi wakishirikiana na wajumbe wa Serikali za Mitaa wanawinda watu, hasa vijana wa kiume, usiku wakiwa wamelala.

Mbaya zaidi wanabeba kila mtu bila kujali lolote, na ole wako wakukute na jeraha lolote cha moto utakiona.

Vijana hawa wakichukuliwa hawaonekani kwenye vituo vya Polisi, na haijulikani wanapelekwa wapi.

Hivi hii Serikali ya CCM inawataka nini watanzania? Hamjifunzi tu, au mnataka hadi damu ya nani imwagike ndipo msalimu amri na kuwa waungwana? Mbona mmekuwa sikio la kufa kiasi cha kutokusikia dawa?

Hii mbegu mnayoipanda ipo siku mtashindwa kuidhibiti. Kumbukeni maandamano yalivyokuwa, pamoja na kujinasibu kuwa na ujuzi na intelijensia kubwa mlifeli big time, kazi kuua tu raia wasio na hatia.

Ipo siku yenu na heshima itarejea mtaani.

View attachment 3504054
Mimi ukija kwangu nakukata panga, sitakubali kufa kijinga
 
Tushafika hatua ya nchi inayoongoza kwa Misingi na matukio ya kihuni, ni kujilinda tu
 
Back
Top Bottom